MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Mafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu.
Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana.
Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...' na blabla kibaoo.
Sasa natafakari hapa ni kwanini Magufuli aliamua tu kuwa katili na kuweka ubinadamu pembeni kabisa. Why?
Kumbuka hata michango yetu tuliyowachangia ndugu zetu nayo aliiteka