KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
Huyo baba yako ZITTO ndio mcha Mungu mchawi mkubwa huyo.alafu inaelekewa wewe ni hawala wa zittoJPM yupi alikua mcha Mungu? Si ndio alikua anatembea nje ya ndoa kivipi Tena mcha Mungu? Si ndio huyo huyo alisema Maalim asipewe Hela za matibabu kisa kamnyima SheIn mkono!! Si ndio huyo huyo alitaka kumuua Lissu?? Mcha Mungu avuruge uchaguzi 2020?
Aiseee acheni kukufuru, sio Kila anayemtaja Mungu jukwaani ni mcha Mungu wengine ni unafiki tu kuonekana wema. Hivi si Majaliwa alidanganya msikitini kabisa yaani mtu anaongea uongo ndani ya msikiti alafu Bado mnadhani hao viongozi Wana hofu ya Mungu kweli?