Hivi kwanini jamaa wa aina hii kwenye picha huwa ni waluga luga sana mtaani🤣

Hivi kwanini jamaa wa aina hii kwenye picha huwa ni waluga luga sana mtaani🤣

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
20250412_155720.jpg


Utakasikia:
"Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya"

"Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20"

"Niliwahi kuishi Dodoma, nilikuwga nawaitishia wabunge wale watoto wazuri wa udom"

😁
 
Hawana future kazi kusema wanawake tu.Kupenda ushabiki wa miziki na kupambanisha wasanii.
 
Kauli zao sasa:
"Bimkubwa nisababishie buku5 nifanye maelekezo ya msosi"

"Mwanang nipushie ten kuna ishu naifukuzia ikitika nakupa uhakika"
 
Maneno mengi , anakupigisha story mara ana koneksheni, anajuana na watu kibao,,,, mwishoni utasikia " mkali nisave lijero hapo walau nivute fegi"
 
Maneno mengi , anakupigisha story mara ana koneksheni, anajuana na watu kibao,,,, mwishoni utasikia " mkali nisave lijero hapo walau nivute fegi"
Hahaha au mamtu nifosie buku 2 halopesa nipate mazingira ya msosi hapa
 
Ukitaka mbegu sema ipo mwake sana hii mbegu hutojuta!, hapo umesimuliwa kuna vitu hujaona...😉😁
Mbegu niliyoipata huku si ya nchi hii, imetulia kinyama. Nimeridhika.
 
Back
Top Bottom