Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki?

😁😁
Unataka mwenzio aanze kuzalisha umeme visigino vinapogusa mashuka?
Wadada wa dar mnawashauri wanaume wa huko dar vibaya halafu wakianza mpaka kujichubua mnaanza tena kuwaponda😁😁😁
 
Wadada wa dar mnawashauri wanaume wa huko dar vibaya halafu wakianza mpaka kujichubua mnaanza tena kuwaponda😁😁😁
Hahaha!
Mkuu, unyayo unahitaji maji, sabuni na dodoki/file wala sio cream.
Sema hapo suluhisho anunue socks angalau hata pair 5 ili awe anazipumzisha zisichakae haraka.
 
Naishi kw baridi kali sana Ulaya kwaiyo mafuta yote yanagonga wakuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pia nvokuwa TZ bado ilikuwa ishu iyo iyo bila magaga🀭🀭🀭
 
Hahaha!
Mkuu, unyayo unahitaji maji, sabuni na dodoki/file wala sio cream.
Sema hapo suluhisho anunue socks angalau hata pair 5 ili awe anazipumzisha zisichakae haraka.
Expert soksi zina viwango pia, achukue best quality hata pea moja atadumu nayo mpaka ashangae,hata ukiwa na kucha ndefu ngoma haichaniki
 
Hahaha!
Mkuu, unyayo unahitaji maji, sabuni na dodoki/file wala sio cream.
Sema hapo suluhisho anunue socks angalau hata pair 5 ili awe anazipumzisha zisichakae haraka.
Kuna kipindi nilikua sivai soksi kama fashion, ndani ya viatu vya ngozi ndani ya miezi sita tu miguu ikawa kama ya punda wa singida 😁😁😁
 
Yes natembea sana km mazoezi kwa siku kama steps elf 20 na nipo kw baridi la negative uku😑😑😑
 
Hivi Kuna wanaume wankaa kusugua miguu πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…