Hivi kwanini mabinti wanaweka filter za kuongeza midomo ionekane mikubwa?

Mimi nimeuliza na wala sijasema ni kitu kibaya juu yao.
Ndiyo sijui fashion za kisasa na ndiyo maana nimeandika hii nyuzi kuomba kueleweshwa.
Ndiyo hivyo hiyo ni fashion ya kisasa, lips kubwa zinaonekana ni urembo. Kuna watu wanafanya mpaka procedure maalum ya kupasua mishipa fulani ya ndani kwenye lips ili kufanya lips ziwe kubwa, si mambo ya filter tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…