Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.
Hizi sifa ni za mwanamke Malaya. Achana nao. Umalaya na akili havikai pamoja.
Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?
Sidhani kama wapo mitandaoni, sehemu za starehe n.k huwa wanakuwa na ratiba tight. Akili na kuwa busy vinaenda sambamba ndo maana hawaonekani kiwepesi.
 
Nazungumzia "Mindset" za akina dada siku hizi, hawataki kukaa kwenye mipango, wanataka kupiga matukio. Utataka kumwezesha mwanamke, yeye anawaza namna ya kukuibia. Sio wanawake wote, baadhi yao mkuu.
Kama unasema ni baadhi yao, hapa tayari umekubali sio mindset ya wanawake kwa ujumla.

Tatizo huwa haliko kwenye jinsia bali kwenye tabia ya mtu binafsi, mbona kuna wanaume wanaotapeli, wanaiba na kuwatumia wenzao vibaya, lakini huwa hatusemi kuwa hiyo ndiyo mindset ya wanaume.

Nadhani tujifunze kuwahukumu watu kwa tabia zao, na siyo kwa jinsia zao.
 
Nomadiq njoo utoe ushuhuda kutoka kwa ndugu zako😅😅😅 je ni kweli au tunapangwa
 
🙆
 
Sawa kabisa,

Tabia ya mtu ya kimaadili haitegemei kabisa jinsia yake,
Sifa kama vile uaminifu,huruma na uadilifu,pamoja na sifa hasi,ni sifa za kibinadamu kwa wote rather than biological or sociological traits,

Individual intelligence is a product of their genetics,environment,education and opportunities,not their gender.
 
Yes, i agree with that.
 

Ndio sijasema wanawake wote kwa ujumla wao, nazungumzia "manipulative behaviour" ya baadhi ya wanawake kwenye mapenzi. Nazungumzia pale ambapo mapenzi yanapogeuka mwanya wa mtu kupigwa matukio, kuibiwa, kutapeleliwa. Hata hivyo nimekuelewa.
 
Imagine mtu ni mweupe alaf bado anapaka mkorogo, imagine mtu anaenda kuongeza tako na anayo yake, fikiria mtu ana kope anabandika kope nyingine, fikiria anakucha anabandika zingine za plastic, imagine mtu ananyoa nyusi zote halafu anapaka wanja nk. Mlevi mmoja ni sawa na wanawake 100 wa hivi hatakama kilammoja ana degree 4 kama yule mwakilishi wao.
 
Well unaongelea psychological fact and not real life reality
Huko juu kuna mtu kakuuliza ''Akili ni nini?'' badala ya kumjibu na wewe ukamuuliza ''Hujui akili ni nini?''

Unajua ni kwanini alikuuliza hilo swali?

Unaposema real life reality una maanisha nini?
Kuna research yeyote inayothibitisha madai yako? au unatumia tu hisia kutokana na aina ya watu waliokuzunguka huko?

Mada za aina hii hua hazijibiwi au kujadiliwa kwa hisia,unatakiwa utambue hilo kwanza,
Kingine unapoleta mada jaribu kua neutral ili watu wachangie,
Mada zako nyingi ukisha ziweka hapa,kinachofuata hua unajikoki kubishana na kumpiga kila atakayekua na mawazo kinzani na wewe! mijadala hua haiendi hivyo kijana.
 
Mkuu ulichokisema ni kweli 💯

Ila mi naamini mentality yetu wanaume ndio imepelekea wanawake wawe hivyo,
Mfano huyo demu uliemDm insta akakuomba elfu kumi basi wapo wengi wanaotuma

Tumeharibu mentality ya wanawake kwasababu ya mtazamo wetu kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…