Kama shetani alijaribu kumrubuni Yesu amsujudie, atashindwa kweli kuwatumia watu kujipenyeza na kunajisi kweli ya Mungu kwa mgongo wa mchungaji, mtume, nabii? kumbuka kwamba imeandikwa kuelekea siku za mwisho kutakuwa na ongezeko kubwa la manabii wa uongo ambao watafanya maajabu makubwa hata kuwarubuni wateule.