Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Saint Anne
Joannah
Huu nilichanganya
Screenshot_2024_0429_102559.png
 
Mchele wa basmati kuwa Boko sio rahis unachofanya basmati unaloweka Ile ya kawaida niliosha nikakaa kma dakika 5 nikaweka na haukuwa Boko sema Mimi Huwa napalia nisipopika wali kwenye mkaa sielewag ๐Ÿ˜€
Haukuwa Boko ila haukuwa mtani
Hata sikupenda๐Ÿ˜Œ

Mimi mwenyewe wali bila kupalia bado siyo wali
 
Ook kumbe wewe la kuuza!nilijua la nyumbani..hapo sawa
Mara moja moja nikipata mtu anataka nimpikie nauza
Mara nyingi napika tu kula nyumbani

Ila Mimi mchele wa kawaida kwenye biriyani hapana kwa kweli..ila Kuna group nipo, wapo wanaotumia mchele wa kawaida bila kuchanganya na biryani lao linatoka poa tu.
 
Back
Top Bottom