Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ubwabwa maharage...wali maharage hii kitu ndio yenyeweUbwabwa ni ubwabwa wa tangu enzi na enzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubwabwa maharage...wali maharage hii kitu ndio yenyeweUbwabwa ni ubwabwa wa tangu enzi na enzi
Siji mgahawani kwako nikija mbeya..labda kama una weka na rangi ya mnyama.... 😆 😆 😆Tunadumisha asili ya green city😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Imekolea balaa hadi nikachambwa na walaji,Mimi muda sina
Hutaki kula Yanga 💚 lala na njaa.
Mwe mtaniSiji mgahawani kwako nikija mbeya..labda kama una weka na rangi ya mnyama.... 😆 😆 😆
Daah is a byutiful colour on earth... 🤣 🤣 🤣 🤍🤍❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤍🤍Mwe mtani
Rangi ya mnyama imekaa kushoto kushoto kama uniform za shule😂😂
Daah is a byutiful colour on earth... 🤣 🤣 🤣 🤍🤍❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤍🤍
Khaaa haujaupatia tuu aseeee....Hebu ona huu ubwabwa hizo rangi za simba
Uniform za st Francis hizi
Naomba ubwabwa..
Hahahahaha..najiandaa nilifuate pale lumumba opp na Ccm HQ
Hahahahaha..ushapajua eeh pale ndio penyewe sasa😋😋😋Mmmh balaa sana pale
Hahahahaha pale kwenye sekela karibu na Binslum ? We uko vzr ..hiyo ni mitaa yangu kila ijumaa kama leo kama nikiwa vzrNapajua vizuri kabisa,kitambo....Ule mtaa una misosi sana hata pale mbele kama unaelekea ushirika mida ya jioni Kuna Sekela na Chicken lemon balaa,,