Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Mimi ni mshamba pro max

  • Yaani burger zilishanishinda, Pizza nazo situmii
  • Na Kuna vile vijitu kama carrot navyo vilishanishinda
 
Unaongelea biliani gani mkuu ingawaje mimi sio mdau wa mabiliani yote aisee [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom