Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Wala sijanenepa mtani
Ndio kwanza nimekonda zaidi

Karibu biriyani la Yanga mtani😂
Karibu tena selfika
Jamanu umenenepa..hebu tupia kasura jamani ww mtani
 
Attachments

  • IMG_20240428_153340_851.jpg
    IMG_20240428_153340_851.jpg
    2.5 MB · Views: 14
Wala sijanenepa mtani
Ndio kwanza nimekonda zaidi

Karibu biriyani la Yanga mtani😂
Karibu tena selfika
Daaah hiyo rangi ya biriani la yangz kama maparachichi 🤣 🤣 🤣 asante sana mtani..
Ila linaonekana tamu mchambuko
 
Daaah hiyo rangi ya biriani la yangz kama maparachichi 🤣 🤣 🤣 asante sana mtani..
Ila linaonekana tamu mchambuko
Tunadumisha asili ya green city😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Imekolea balaa hadi nikachambwa na walaji,Mimi muda sina
Hutaki kula Yanga 💚 lala na njaa.
 
Back
Top Bottom