Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Humu kuna somo la mapishi ..kaa ujifunze kupika biriani..ππKwema humu ndani πππ
Leo tunapata somo la mcheleπ€£π€£π€£π€£
Safi sana ngoja nipate elimu hapaHumu kuna somo la mapishi ..kaa ujifunze kupika biriani..ππ
Hongera sana umepika chakula kitamu sana kuliko yule Binti mjuaji
Jaribu dearOokayyy,,nitajaribu hii method
πUlikuwa na ladha nzuri piaUnavutia.
Asante πHongera sana umepika chakula kitamu sana kuliko yule Binti mjuaji
Usisahau kutupa mrejeshoππ Weekend nitaipika Inshallah tukijaliwa uzima
Mie nasubiri picha ya biriani hapa selfikaππ Weekend nitaipika Inshallah tukijaliwa uzima
WalaaInaonekana wewe ni mpishi mzuri sana
Pambeeππ
Safi sanaWalaa
Sijui chochote
Najivunza mdogo mdogo
Pambeeππ
Haukuwa Boko ila haukuwa mtaniMchele wa basmati kuwa Boko sio rahis unachofanya basmati unaloweka Ile ya kawaida niliosha nikakaa kma dakika 5 nikaweka na haukuwa Boko sema Mimi Huwa napalia nisipopika wali kwenye mkaa sielewag π
Mara moja moja nikipata mtu anataka nimpikie nauzaOok kumbe wewe la kuuza!nilijua la nyumbani..hapo sawa