Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
kwa sababu kimeunganishwa na tabia mbaya!
vinginevyo ni wali wa kawaida wenye rangi nyama yake ikachanganywa na mtindi,nyanya nyingi vitunguu vilivyoungua na viungo vya pilau kwisha!
 
Kiuhalisia mchele wa birian hauna ladha km mchele wa kawaida nishapika mara kadhaa sikukuelewa had nilipojaribu kuchanganya mchele wa basmati na WA kawaida kidogo ndo Lilikuwa tamu
ukiupikia mchele halisi inakuwatamu zaidi sema kuna ushamba unatusumbua tu.
 
Yaani over over rated cuzo!ushawahi kula lakni?
Ndiyo Cuzoo...
Niwahi kula wakati fulani kibaruani...

Tena nilinunuliwa zile za delivery..Mtu aliniambia ngoja leo uonje ladha ya Biriani uone ilivyo.....Huwezi kuamini nilikula Kuku tu...Sijawahi kurudia tena🤣

Hata niwe na njaa vipi Cuzoo Biriani ahinitamanishi kabisa.
 
🤣🤣Basmat bwana inazingua sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…