Narudi kwetu unyakyusani nikale Mchele wa kyela .....hili Biriyani mpaka Leo sijakaa poa tumbo......🤣🤣🤣🤣🤣Unaendelea na Nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudi kwetu unyakyusani nikale Mchele wa kyela .....hili Biriyani mpaka Leo sijakaa poa tumbo......🤣🤣🤣🤣🤣Unaendelea na Nini mkuu?
Sitaki kupikiwa, nataka kula 😅Jamani we ongea na mishangazi inajua kupika vizuriiiiii😁😁
Asant mkuuKaribu jamvini
Limechachamaa....mi Hadi nikasemaga huu mchele unatengenezwa kama tambi Nini?maana umenyoooka halafu haunukii hata sijui ndio ule tulisoma darasa la sita la enzi zetu "Kilimo Cha mpunga Burma"Narudi kwetu unyakyusani nikale Mchele wa kyela .....hili Biriyani mpaka Leo sijakaa poa tumbo......
Insh Allah 🙏Inshallah tuombe uvuvi
Kwani mahi mi najua wewe si Dodoma,mbona nasikia Mbeya Tena?
Upo sahihi mie huwa na pima nusu kwa nusu na mchele grade 1 unatoka bomba tuuNimeshawahi kuchanganya ukawa mbaya
Ila mchele niliochanganyia haukuwa mzuri sana
Ukichanganya kwa mchele grade 1 ule kabisa linatoka poa sana mno
Sema Mimi sina hamu tena ya kuchanganya
mimi huwa siloweki naweka vipomo sawa nachemsha nachuja maji na inakuwa poa sanaJaribu dear
Km unaloweka mchele loweka Kila mmoja sehemu yake
🤣🤣🤣🤣Na juzi nilitaka nikwambie the same maana Kila nikiingia snap nakutana na safari,
Basi ulikula rojo ambalo halijaandaliwa vizuriHapana aisee mi hayo mamichuzi ndo kabisa siyaelew hatar
Mimi nishazoea kupika hivo Huwa sichuji maji napika km wali wa kawaida tumimi huwa siloweki naweka vipomo sawa nachemsha nachuja maji na inakuwa poa sana
🙄🙄🙄Kumbe wakuu mpo serious!?Kosugi tunakungoja wanafunzi tumeongezeka?
Amini huniwezi,Yaani Nina uhakika taji nalichukua bila kupepesa macho!tupange siku😄😄
Aisee Asante sana Kosugi, wewe ni kijana Bora👍Mandi ni aina ya wali unaopikwa na viungo kama biryani ama pilau.
Tuseme ni biryani la kiarabu.
Mie nilijifunza kwa mama mzazi jinsi ya kulipika.
Japo nalo lina namna tofauti tofauti ya upikaji.
-viungo;
Pilipili manga/pilipili mtama,vitunguu maji,vitunguu saumu,zafarani,tangawizi,manjano,karoti,majani yalokauka ya bei,haltiti,mchele na kitoweo chochote eidha kuku,bata,nyama ya kondoo,mbuzi ama ng'ombe.
-Maandalizi menya na uponde vitunguu saumu,menya vitunguu maji kesha kata na karoti na uandae mchele.
Pia kitoweo ulichokipata kioshe kiweke viungo kwa kukichemsha supu kwa kukisagia tangawizi na kukipaka pilipili manga/mtama na kukikatia karoti na kukiwekea majani ya bei/bay,kesha kichemshe supu.Katika uwekaji tangawizi kuna namna ya kuimenya na kuikata tangawizi ikayeyukia katika supu.
Sio kwa kuisagia mpaka kamba zake zikaonekana katika supu,maana supu ndio utapikia huo wali.
-Upishi ukishamaliza kuchemsha supu ya kitoweo ulichopata tafuta sufuria nzuri inayoendana na kilo unazotaka kupika kaanga vitunguu maji,vitungu saumu na karoti, vitunguu maji visiwive kwenda rangi ya brown viishie kwenye rangi ya gold,kesha utose mchele ukaange na hivyo viungo mpaka viingie kwa dakika zisizozidi 5,kesha umwagie haltiti,zafarani,manjano na pilipili manga/mtama ukaange kwa dakika 2-3.Kesha chukua supu na kitoweo chako mwagia kwenye ule mchele pamoja na kitoweo vimix/vichanganye kwa mwiko kesha funika vichemkie.
Una maamuzi eidha supu ikaukie ama isikaukie wali utoke na supu yake,maana kwa wahajemi Mandi huchukulia kuwa ni (rice soup).
Ila kwa wewe waweza ukausubiri ukauke kabisa.
Wakati supu inakaukia waweza weka kwa juu ya wali majani ya bei yanyonywe harufu na wali.
Hivi ndivyo ambavyo mimi hupikaga kwa kuona mama mzazi akipika hivi.