Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Wana kawaida ya kukutumia kwa maslahi yao, kama unataka kutumika hapo sawa. Lakini kama unajielewa basi piga chini mazima endelea na safari yako, utakutana nao wengi zaidi ya huyo
Kweli kuna mmoja nilimtongoza akanikubali lakini akawa mgumu kunipa penzi, akanipa masharti nivumilie mpaka ndoa, lakini akawa ananiomba pesa kila wakati, nikimuanza kumsalimia ananiomba pesa na akituma sms tu nikijibu tu ananiomba pesa, nikimtumia sms anajibu baada ya siku mbili au anaipotezea, nikimpigia simu akipokea ana sema yupo bize atanitafuta baadae, Sasa na mimi nikajibu mapigo alimtumia sms baada ya masaa sita kupita nikajibu kwa kumuuliza wewe nani mwenzangu? Yeye akajibu Daaah Yani ulishaifuta namba yangu? Mimi nikajibu bado sija kujua wewe nani ? Mpaka leo hii hakujibu tena.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ukatili mlifanyiana 😀😀
 
[emoji23][emoji23] bora utongoze ukubaliwe… ukikataliwa ni tatizo,, kuna mtu sahivi nashindwa kabisa kumuheshimu tokea aliponitongoza.. ni mbaya sana!!
Hapana kukataliwa si tatizo, ila linaweza kuwa tatizo kama mtongozaji hakutumia akili na ujanja kukutongoza, Mwanaume lazima asome mazingira na akili ya mwanamke anayetaka kumtongoza, kuna baadhi ya wanawake ukiwatongoza kuwapata ni ngumu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Eeeh hii yenyewe
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Akajiimbisha mapambio yake akamalizia kwa kusema anatamani nimuoe au aolewe mwaka huu mwezi october, nikaona tu huyu hana jipya kashaona soko lishamtupa anatafuta wa kumalizia nae maisha
Huyo kashakuwa msimbe a.k.a kibungo

Wakijileta kama hivyo wahuni huwa wanasuuza rungu na kusepa

Lakini ukitaka ajisikie vibaya zaidi kama ulivyofanya hamna kumpa attention

Aende kwa mtume wao Kawe kwa Mwamposa
 
Huyo mkuu mkimbie huyo kafata ndoa baada ya kuona alipo kuwepo hakuna ndoa, kwa hiyo ukiingia kingi na kumuoa tu utaanza kuona vitimbi ndani ya ndoa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Umeenda kwa mama ntilie kakwambia chakula kimęisha unabakipo kufanya nini?

Kata kona hamna chako tena!
 
Huyo mkuu mkimbie huyo kafata ndoa baada ya kuona alipo kuwepo hakuna ndoa, kwa hiyo ukiingia kingi na kumuoa tu utaanza kuona vitimbi ndani ya ndoa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Ndivyo walivyo soko likishakuwa gumu atakutafuta

Anataka ndoa ili ajimwambafai kwa ex zake na mashosti zake si mlisema siolewi haya sasa nimeolewa

Hao wanapenda HARUSI ila sio NDOA

Ogopa sana mwanamke wa hivyo
 
naendelea kusisitiza ukimya ni silaha kubwa mademu .

mi kunae huyo mmoja tulianza kuzoeana kwanza ,mara nying usiku tunakuw wote tunazurura,

na anapenda kunisifia nikiwa nae &story nyng ,nisipoonekana atauliza kwa marafik zangu wapi nilipo.

siku moja nikaweka verse akachomoa livelive na akasisitiza ana mtu wake nikamjibu haina noma.

tukaendelea na mazoea,ila kushika shika na romance kdg anakubali ,sasa nikajiuliza huyu si alisema ana mtu wake.

tukija kwenye mawasiliano sijawah kumchek ila ashawah nichek mara mbili (anajibu short) nikakaushia, ILA nikiwa nae live uneza hisi ni wapenz kindakndak.

sasa wik iliyoisha tukiwa tumekaa mazngra nikarudia tena kurusha nyavu akachomoa ,bas nikamwambia mazoea itabid yapungue unachokifanya sio poa kwa huyo mtu wako ,akanijibu SAWA HAINA SHIDA, baada ya hapo mimi huyoo nikaamsha


ukimya ukatawala kama siku 4,jana kajileta mwenyew lawama kibao mi namwangalia tu ,nikamsogeza pemben gizan peruzi sana mwil wake ,pima oil mtoto hana pingamiz,

nikasema enhee mambo sindo haya,nikachomoa ndomu kweny wallet nikachakata mtoto,SASA HIVI ANANANIITA MUME,sms kibao mi namchora tu .

kwakuw alileta mishauo mwanzon nataka nimchape tukio nipite kushoto

NB:HAJAWAHI NIOMBA HELA YOYOTE ILE .
 
Ningependa wanawake muelewe hakuna urafiki wa jinsia hizi mbili,Ukiona mwanaume ameamua kuwa rafiki yako basi ameona umekaa kiume,au anakupenda na anaamini akiendelea kuwa Katika cycle yako basi ipo siku atakula kitumbua,au ni shoga literally.
au kuna namna flani haujampendeza machoni mwake anakuchukulia tu kama ndugu yake.

hamna urafiki wa heshima sijui hana shida, hujamtamanisha mtu/hujapendwa
 
Nilifanya kosa la kutongoza officemate akachomoa kwa kusema kabila langu ni la wajinga. Sikuhizi Nina kazi ya kumuwekea virus kwenye laptop na kumuibia documents Hadi akome
Kweli kabila lenu la wajinga hakukosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…