mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?
Kweli kuna mmoja nilimtongoza akanikubali lakini akawa mgumu kunipa penzi, akanipa masharti nivumilie mpaka ndoa, lakini akawa ananiomba pesa kila wakati, nikimuanza kumsalimia ananiomba pesa na akituma sms tu nikijibu tu ananiomba pesa, nikimtumia sms anajibu baada ya siku mbili au anaipotezea, nikimpigia simu akipokea ana sema yupo bize atanitafuta baadae, Sasa na mimi nikajibu mapigo alimtumia sms baada ya masaa sita kupita nikajibu kwa kumuuliza wewe nani mwenzangu? Yeye akajibu Daaah Yani ulishaifuta namba yangu? Mimi nikajibu bado sija kujua wewe nani ? Mpaka leo hii hakujibu tena.Wana kawaida ya kukutumia kwa maslahi yao, kama unataka kutumika hapo sawa. Lakini kama unajielewa basi piga chini mazima endelea na safari yako, utakutana nao wengi zaidi ya huyo
Kutongoza sisi kwetu ukishazaliwa mwaaume ipo kwenye Job descriptions.. ingawa wengine mnatusaidia kwa namna zenu..😁😁Hapana…!
Ukatili mlifanyiana 😀😀Kweli kuna mmoja nilimtongoza akanikubali lakini akawa mgumu kunipa penzi, akanipa masharti nivumilie mpaka ndoa, lakini akawa ananiomba pesa kila wakati, nikimuanza kumsalimia ananiomba pesa na akituma sms tu nikijibu tu ananiomba pesa, nikimtumia sms anajibu baada ya siku mbili au anaipotezea, nikimpigia simu akipokea ana sema yupo bize atanitafuta baadae, Sasa na mimi nikajibu mapigo alimtumia sms baada ya masaa sita kupita nikajibu kwa kumuuliza wewe nani mwenzangu? Yeye akajibu Daaah Yani ulishaifuta namba yangu? Mimi nikajibu bado sija kujua wewe nani ? Mpaka leo hii hakujibu tena.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hapana kukataliwa si tatizo, ila linaweza kuwa tatizo kama mtongozaji hakutumia akili na ujanja kukutongoza, Mwanaume lazima asome mazingira na akili ya mwanamke anayetaka kumtongoza, kuna baadhi ya wanawake ukiwatongoza kuwapata ni ngumu.[emoji23][emoji23] bora utongoze ukubaliwe… ukikataliwa ni tatizo,, kuna mtu sahivi nashindwa kabisa kumuheshimu tokea aliponitongoza.. ni mbaya sana!!
Eeeh hii yenyeweKweli kuna mmoja nilimtongoza akanikubali lakini akawa mgumu kunipa penzi, akanipa masharti nivumilie mpaka ndoa, lakini akawa ananiomba pesa kila wakati, nikimuanza kumsalimia ananiomba pesa na akituma sms tu nikijibu tu ananiomba pesa, nikimtumia sms anajibu baada ya siku mbili au anaipotezea, nikimpigia simu akipokea ana sema yupo bize atanitafuta baadae, Sasa na mimi nikajibu mapigo alimtumia sms baada ya masaa sita kupita nikajibu kwa kumuuliza wewe nani mwenzangu? Yeye akajibu Daaah Yani ulishaifuta namba yangu? Mimi nikajibu bado sija kujua wewe nani ? Mpaka leo hii hakujibu tena.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Ukatili gani tena mfano wewe mpenzi wako kakutumia sms ya kusalimia wewe unajibu na kumuomba pesa au unaweza kupita wiki mbili bila kumsalimia mpenzi wako siku unatumia sms ya salamu ukijibiwa unaomba pesa.Ukatili mlifanyiana [emoji3][emoji3]
Huyo kashakuwa msimbe a.k.a kibungoAkajiimbisha mapambio yake akamalizia kwa kusema anatamani nimuoe au aolewe mwaka huu mwezi october, nikaona tu huyu hana jipya kashaona soko lishamtupa anatafuta wa kumalizia nae maisha
Safi sana,kama vipi gawa namba tukulipieAlinikataa kwa dharau. Alisema wamaasa siyo bin'Adam waliokamilika. Sasa nitamuonyesha
Huyo mkuu mkimbie huyo kafata ndoa baada ya kuona alipo kuwepo hakuna ndoa, kwa hiyo ukiingia kingi na kumuoa tu utaanza kuona vitimbi ndani ya ndoa.Sina muda na mtu ambaye hana muda nami, ukinikataa naendelea na maisha mengine na wengine.
Kipindi npo chuo 1st year nilitongoza pisi moja ya kilokole ikaniwekea ngumu baada ya hapo nikapunguza mazoea ikawa ni salamu tu, imepita miaka kanicheki mwaka huu analalama ya kwamba ananipenda ni kwanini nilipunguza ukaribu nae? Akajiimbisha mapambio yake akamalizia kwa kusema anatamani nimuoe au aolewe mwaka huu mwezi october, nikaona tu huyu hana jipya kashaona soko lishamtupa anatafuta wa kumalizia nae maisha. Sikumjibu kitu ukizingatia ni fimbo ya mbali, alinisumbua mwshoni akaona response yangu ni hafifu akatokomea.
Ukishamwambia mtu ukweli wa unachofeel kumhusu unakuwa kwa upande wako umemaliza, kazi inabaki kwake kuamua yajayo. Asipokuelewa sio kesi ila hii ya kumganda mtu hapana. Ke wengi wanakukataa ila wanataka urafiki/ukaribu unaowanufaisha wao, wakupige vizinga bila chochote.
Acha hizo,yeye binadamu pia ana hisia[emoji23][emoji23] bora utongoze ukubaliwe… ukikataliwa ni tatizo,, kuna mtu sahivi nashindwa kabisa kumuheshimu tokea aliponitongoza.. ni mbaya sana!!
Ndivyo walivyo soko likishakuwa gumu atakutafutaHuyo mkuu mkimbie huyo kafata ndoa baada ya kuona alipo kuwepo hakuna ndoa, kwa hiyo ukiingia kingi na kumuoa tu utaanza kuona vitimbi ndani ya ndoa.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
naendelea kusisitiza ukimya ni silaha kubwa mademu .
au kuna namna flani haujampendeza machoni mwake anakuchukulia tu kama ndugu yake.Ningependa wanawake muelewe hakuna urafiki wa jinsia hizi mbili,Ukiona mwanaume ameamua kuwa rafiki yako basi ameona umekaa kiume,au anakupenda na anaamini akiendelea kuwa Katika cycle yako basi ipo siku atakula kitumbua,au ni shoga literally.
Kweli kabila lenu la wajinga hakukosea.Nilifanya kosa la kutongoza officemate akachomoa kwa kusema kabila langu ni la wajinga. Sikuhizi Nina kazi ya kumuwekea virus kwenye laptop na kumuibia documents Hadi akome