Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Nauliza jamani?
Ina maana wake zetu hawana furaha na sisi?...Ila wanatuvumilia tu
Ina maana wake zetu hawana furaha na sisi?...Ila wanatuvumilia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauliza jamani?
Inaonekana wabongo bado hamjaelewa kitu fulani kuhusu kunenepa!
Maana kwa wazungu wakiona hivyo huwa wanampa pole wakisema "Sorry for your loss dear, it must have been so hard on you. I see you even gained weight. But do not worry it can not get any worse dear one"
Umeona? Wao kuongezeka uzito ni dalili ya stress. Kaibundie hiyo hadi uielewe sasa
watapendeza hadi pale rambirambi itakapokwisha, na pale ambapo michepuko itakapanza kutafakari chanzo cha kifu cha Mume wa mjane ndipo mikongoroko huchukua nafasi yake hatua kwa hatua.....Nauliza jamani?
Ina maana wake zetu hawana furaha na sisi?...Ila wanatuvumilia tu
Kwa hili isingewezekana kuacha kulinganisha madam Joanah.Tunataka kutawaliwa hadi mawazo/maoni
Kwanini tumsikilize mzungu?
Kwanini umetafsi kuwa tafsiri ya wazungu ndio sahihi? Vipi kama ya kwetu ndio sahihi kuliko yao? Hivi wewe umewahi kuona mtu mwenye shida ananenepa na mwenye raha anakonda?Kwa hili isingewezekana kuacha kulinganisha madam Joanah.
Ndilo lengo la post kuonesha utofauti wa mila na desturi na imani kati ya wazungu na wabongo.
Wabongo: Kunenepa ni dalili ya maisha mazuri, no stress, raha hana mawazo[emoji5]
Wazungu: Kunenepa ni dalili ya maisha magumu, stress, shida fullu mawazo[emoji22]
Ukweli ni upi? Tafiti zinasemaje?
Maana isije kuwa mtu anapotaabika halafu sie tunasoma tafsiri tofauti kabisa. Badala tumpe pole, na kumsaidia... tunampongeza na kumuonea wivu
Kwa hili isingewezekana kuacha kulinganisha madam Joanah.
Ndilo lengo la post kuonesha utofauti wa mila na desturi na imani kati ya wazungu na wabongo.
Wabongo: Kunenepa ni dalili ya maisha mazuri, no stress, raha hana mawazo☺
Wazungu: Kunenepa ni dalili ya maisha magumu, stress, shida fullu mawazo😢
Ukweli ni upi? Tafiti zinasemaje?
Maana isije kuwa mtu anapotaabika halafu sie tunasoma tafsiri tofauti kabisa. Badala tumpe pole, na kumsaidia... tunampongeza na kumuonea wivu
Kwanini umetafsi kuwa tafsiri ya wazungu ndio sahihi? Vipi kama ya kwetu ndio sahihi kuliko yao? Hivi wewe umewahi kuona mtu mwenye shida ananenepa na mwenye raha anakonda?
kwa ushahidi upi?Nauliza jamani?
Ina maana wake zetu hawana furaha na sisi?...Ila wanatuvumilia tu
Wanaume sio Mashetani kama unavyosemaMianamume mengi meusi yananyanyasa wake zao
Hayawatunzi yana gubu
So yakiondoka wake wanapata ahueni
Ndiyo. Fanya utafiti tu na we.Kwanini umetafsi kuwa tafsiri ya wazungu ndio sahihi? Vipi kama ya kwetu ndio sahihi kuliko yao? Hivi wewe umewahi kuona mtu mwenye shida ananenepa na mwenye raha anakonda?