Hivi kwanini mwendokasi huduma zinakuwa mbovu na wao ni monopoly?

mkuu iyo ngumu unafikiri kwa kucharge ushuru tu ilo deni la kujenga BRT litalipwaje maana hela zinatakiwa kutoka humo humob
 
Umeeleza vizuri sana mkuu. Kweli mradi unaendeshwa kwa hasara sana.

Kuhusu mwekezaji kwa nini hili suala limekuwa na danadana nyingi sana?
 
Simon under UDA alirudisha hisa 85% kwa Serikali hivyo kufanya Udart kumilikiwa na Hazina kwa 85%

Wao wanailipa Serikali kila siku kutokana na matimizi ya barabara na miundombinu yake.



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Umeeleza vizuri sana

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sikua najua jamani kama inabeba hadi watu 350,
Ule usafiri hapana, kuna kipindi nilikua na babe anaishi Kimara siku moja nikasema nikamtembelee akanambia nipande mwendokasi upo fasta tu weeh nilijutaaa, mnapangishwa folen, bado tena mnagombaniana kupanda hapo bado halijajaa kama limebeba viazi, yaan watu wanafinyana hadi hewa inaisha [emoji119] bora tulivyoachana [emoji2960]
 
Umeeleza vizuri sana mkuu. Kweli mradi unaendeshwa kwa hasara sana.

Kuhusu mwekezaji kwa nini hili suala limekuwa na danadana nyingi sana?
changamoto naona ni viongozi kampuni ya udart ipo chini ya msajili wa hazina(tresury) halfu DART ip chini ya Tamsemi .
DART wakitafuta mwekezaji lazima wahusishe wizara ya fedha namna mwekezaji atakavyolipa, sasa kumbuka sasa ivi wanaokusanya mapato ni hazina, wizara ya fedha ikiona mwekezaji alietafutwa hawezi kuleta pesa za kutosha kulipa mkopo wa BRT pamoja na garama zingine wanapiga chini wanaendelea kukusanya wao yaan ni kama kuna conflict of interest .
ndio maana kila muda utaona matangazo ya zabuni ya mtoa huduma BRT laki mchakato unaishia kwenye bomba
 
Umeeleza vizuri sana mkuu. Kweli mradi unaendeshwa kwa hasara sana.

Kuhusu mwekezaji kwa nini hili suala limekuwa na danadana nyingi sana?
Hauendeshwi kwa hasara maana wanapata zaidi ya Milioni 150 kila siku za kazi.
Mapato hupungua Jumamosi, Jumapili hupungua zaidi.

Faida inayobaki bado ni kubwa ila hawawezi nunua tena magari sababu kuna mwekezaji mwingine anaingia ambaye atakuwa analipa zaidi ya 20mil kwa siku kutumia barabara

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Pole Dar ndiyo jehenamu lenyewe hilo.
 
wiz mwing
 
Mradi wa mwendokasi unahujumiwa kwenye ukusanyaji na uwasilishaji wa mapato ya kila siku. Ukiweka uthibiti wa kinoko kwenye zile 750 zinazokusanywa kila siku, ukaziba mianya ya panya wakusanyao nauli pale kwenye kidirisha chao, na upelekaji mapato ya siku benki ni hakika hesabu zako ulizochakata hapo juu zitasoma hata zaidi. Pesa ikiisha kuwa nyingi na kukabidhiwa inakuwa ngumu kuihujumu bila andiko.
 
mkuu unajua deni la kujenga BRT iyo milion 20 kwa siku haiwezi kulipa, BRT ilijengwa kwa mkopo na pesa zinatoka humo humo kwenye uendeshaji .
unajua kama UDART inalipa madeni tok miaka iyoo

note : akitafutwa mtoa huduma hata akilipa milion 20 kwa siku kama tozo ya kutumia barabara ni hasara mkuu.

DART wanatakiwa wapate pesa za kujiendesha kutoka humo humo kwenye BRT maana hawapati ruzuku

Deni la mkopo wa kujenga BRT linatakiwa kulipwa kutoka humo humo kwenye mapato ya BRT na ninzaidi ya iyo 20M kwa siku

huyo mwekezaji atalipa bei gani ili ziweze kutosha kugaramia vitu hivyo muhimu? labda awe analipa zaidi ya 50M kwa siku ndio maana unaona mtoa huduma ni kama vile hapatikani miaka nenda rudi maan akiona garama izo anaona na yeye hapati faida msiangalie makusanyo tu angalieni na garama za pesa zinakwenda wapi ?
 
💯🤝 Conflict of interest
 
Nimekusoma
Serikali ilikopa kama Bilioni 500 kujenga huo mradi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
💯🤝
 
Pia kuna hela asilimia flani kila mwezi inatengwa kwa World Bank.. Mradi wote ulikuwa mkopo kutoka kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…