Hivi kwanini mwendokasi huduma zinakuwa mbovu na wao ni monopoly?

Usimamizi mmbovu,jamaa wazembe,hawajali abiria wao

Yaani hawa wanapishana na hela Sana kwenye mradi huo

Huu usafiri ni wa ajabu na mateso kwa abiria

Ova
 
Usimamizi mmbovu,jamaa wazembe,hawajali abiria wao

Yaani hawa wanapishana na hela Sana kwenye mradi huo

Huu usafiri ni wa ajabu na mateso kwa abiria

Ova
Wameridhika na mishahara yao.
 
Mawazo fikirishi yaliyoambatanishwa na ushuhuda wa takwimu. Wahusika tunaomba ufafanuzi.
 
Kama hali iko hivyo basi hamna namna lazmq kampuni iyumbe. Sema hata wale wakatisha tiketi watakuwa wanajikadiria sio kwa kiburi kile wako nacho.Hakuna anayetegemea mshahara wa laki 3 pale.
 
Wana wizi wa kishamba sana yani, mtu anajisahaulisha chenchi makusudi kenge kabisa.
 
Sijui nikipi hua kina fanyika kwa usahihi wake hapa uswahilini, sijui labda nifahamishwe
Hapa Umatumbini nadhani ukiachia mdundiko ni vigoma vya misutano tu vile vinafanywa kwa ustadi wa hali ya juu.
 
Mkuu, umeweka gharama za uendeshaji kama mafuta, maintenance, na kodi ya kutumia barabara BRT ili warejeshe mkopo wa WB.

Hata hivyo UDART huduma zao ni mbovu kwa kweli, njia ya Mbagala waipe kampuni tofauti ili tulinganishe ubora wa huduma.

Vv
 
Itakuwa njema sana, sikujua kuna hizo gharama wanalipa ila still ukifanya assesment out of 135M kama faida still hela nyingi itabakia.Hakuna mfanyabiashara wa kukutengenezea million 100 halafu yeye akubali kupata 1M kwa siku!
 
Usimamizi mmbovu,jamaa wazembe,hawajali abiria wao

Yaani hawa wanapishana na hela Sana kwenye mradi huo

Huu usafiri ni wa ajabu na mateso kwa abiria

Ova
mkuu kwa kukudokeza mradi wa BRT phase I bado upo unasimamiwa na world bank na kuna muwakilishi wake hapa anatuma report mradi unavyokwenda na wb ndio mwenye maamuzi makubwa ya kufanya mradi uendeshwe vp maana pesa zao bado hazijarudi, zikirudi mradi unakua wa kwenu maamuzi mtafany nyie
 
Simon group ni kada mwenzao ndio maana wakampa shavu ...nepotism at its best
 
Mwendokasi si kwa ajili ya kubebea mizigo ni kwa ajili ya abiria pekee.
 
Hahahah nilipoona tu wame ditch mfumo wa kadi nikajua tu ilikuwa itafutwa mbinu ya upigaji😀😀😀 kupitia mradi ule kuna vijana watajenga kupitia kukatisha tiketi tu pale 🤣🤣🤣
Nchi yetu sote Nkuu, acha nao walambe nkono maana hata zikikusanywa kwenda central government, wanaishia kulipana posho na kununua mashangingi
 
Wawape warabu coz huwa hawapendi longolongo watawalipa deni lao lote kwa sharti wawape njia zote za dar kwa miaka 50 ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…