Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Sababu Aliua RC (MKUU WA MKOA)!.. hiyo ni dharau kubwa kwa serikali na nchi. Mengine ni dhahania tu, lakini kuua ni ukweli na yeye mwenyewe muuaji alikiri akiwa timamu!.Sibishi kwamba alipatikana na hatia kama alivyokiri mwenyewe na hukumu aliyopata ni stahili yake. Hoja ni kwamba kwanini Nerere asi sign za wengine waliouwa kwa ukatili mkubwa na akaidhinisha Mwamwindi anyongwe haraka?
Wewe kama baba mwenye nyumba unatakiwa kutambua makosa gani ya kuyachukulia adhabu haraka na makosa gani ya kuyafanyia mchakato kutambua nia zake!. Lakini usisahau 'kuwalinda' wasaidizi wako dhidi ya watoto wako!.