Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

Ila wanasema ukiona mwanamke anakuambia Asante jua kua hao sio watoto wako.

Una maoni gani katika hilo??
 
Unasubiri upewe shukrani bro ,hayo ni majukumu yako sio hisani na upewe ahsante
 
Unasubiri upewe shukrani bro ,hayo ni majukumu yako sio hisani na upewe ahsante
Sawa hata kama ni majukumu yangu nikiyatimiza sistahili shukrani??

Kama ningegoma je??
 
Daaah nimeona sirjeff kaipost hii au kapata kwako mkuu?
 
Daah.

Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile.

Sura kaavu.
Mzee wangu nikimfanyia kitu chochote atanambia Asante

Ila sasa unakuja unamhurumia m.ke kwa kadri uwezavyo ila hawezi kusema Asante na hio ni tabia yake mna unaweza kumkumbusha ila siku ya pili the same

M wanawake wa hivi nawapotezea tu
 
Ukisubiri shukrani utatengeneza magonjwa ya moyo maana mke wako akijua hilo linakunyima raha huwa ndiyo wanafanya zaidi
 
Yani ipo hivi mwanamke jambo unalomkataza ndiyo jambo atalifanya mara nyingi ili ukwazike kama linawakwaza, ishini maisha simple usingoje shukrani fanya unaloweza
 
Na tunaambiwa asante na pole kila saa na wake zetu tunacomment wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…