InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,176
mkuu hao viumbe mambo yao malizia tumboni usipeleke kichwani sababu utaishia kujipata buree.!Daah.
Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile.
Sura kaavu.
#kupataStroke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hao viumbe mambo yao malizia tumboni usipeleke kichwani sababu utaishia kujipata buree.!Daah.
Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile.
Sura kaavu.
Nimeitoa kwake, tulikuwa wote ofisini wakati ana tweet.Daaah nimeona sirjeff kaipost hii au kapata kwako mkuu?
Nimeitoa kwake, tulikuwa wote ofisini wakati ana tweet.
Sawa StrokeHapana
Na wala sitarajii
By God's Grace.
Jidanganye. 😀Hakikisha anafikia hatua hii. Mambo mengine muachie yeye mwenyeweView attachment 2498457
Hujakutana na wale wahitimu wa KaoleHakikisha anafikia hatua hii. Mambo mengine muachie yeye mwenyeweView attachment 2498457
Sio kweli mkuuIla wanasema ukiona mwanamke anakuambia Asante jua kua hao sio watoto wako.
Una maoni gani katika hilo??
Ndio maana nimesema mambo mengine muachie yeyeJidanganye. [emoji3]
Kama yeye ni muhitimu wa Kaole hakikisha wewe ulihitimu hukohuko Kaole mwaka mmoja kabla yake.Hujakutana na wale wahitimu wa Kaole
Unaweza uone umefanya yote kumbe yeye bado hajafanywa yote,tatizo hilo!Daah.
Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile.
Sura kaavu.
Huyo ni wako tu pekee.Daah.
Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile.
Sura kaavu.
Sii wana urafiki na shetani unategemea nini sasaDaah.
Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile.
Sura kaavu.
Sasa ndio uniseme!?[emoji3]Ni shida ya mtu mmoja sio wote na ukiona hivyo ujue huyo hata kumshukuru Muumba wake ni ngumu mno, hata nyie mpo pia wenye tabia hiyo
Labda upate Magonjwa MtambukaHapana
Na wala sitarajii
By God's Grace.
Ha Ha hili swali limekaa kimchongo sana.