Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

Kwa mwanaume kijana mwenye vision na focus ya kutajirika maishani, hutakiwi kbs kuwa na girlfriend.

Kama huwezi kuzua lust (nyege), basi kuwa na girl mmoja tu, tena kusex ni mara 1-2 kwa mwaka.

Jifunze sperm retention, epuka unnecessary liabilities. Build your empire!
Hapa unakuta unatype mzee afu baby mama yuko pembeni na bado umemdanganya ashura aje kesho leo hutakuepo🤣🤣kwa ground mambo ni tofauti
 
Ni shida ya mtu mmoja sio wote na ukiona hivyo ujue huyo hata kumshukuru Muumba wake ni ngumu mno, hata nyie mpo pia wenye tabia hiyo
Kwamba mke wangu kanipikia ugali nimekula nimeshiba niseme Asante nitasema lakini sijaona kingine[emoji1787]
 
Ata Mungu ameshatwambia kua ni wachache katika waja wake wenye kushukuru

Qur'an (13) Saba

Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru.
 
Hi tabia alikuwa nayo wife. Kuna siku mama yake nae alipata shida akaomba nimsaidie kiasi fulani cha pesa. Nikamtumia kwa Mpesa. Akauchuna hakusema lolote wala asante. Iliniuma sana. Kabla ya hapo alikuwa ananipigia zaidi ya mara mbili kwa siku kuulizia. Nikajua kumbe hii tabia wife amerithi kwa bi mkubwa wake.

Kwa jinsi nilivyochukia yule mama mkwe anahisi nina roho mbaya. Maana yake baada ya hapo kila akitangaza shida nampitisha kavu.

Na wife nae nilimchana tabia yake. Siku hizi amebadilika.
 
Ukitaka kujua tabia ya mkeo mtizame mamkwe wako wala usipate tabu
 
Back
Top Bottom