Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

Malezi mabaya,lea vizuri watoto wako wajue ni wakati gani wa kushukuru
Mimi hata mtu akinifanyia kazi yangu hata kama ni wajibu wake nashukuru awe konda,iwe sokoni,iwe wapi hupenda kushukuru kwa huduma yoyote niliyofanyiwa.
 
Ila wanasema ukiona mwanamke anakuambia Asante jua kua hao sio watoto wako.

Una maoni gani katika hilo??
Sio kweli mkuu
Kushukuru ni wajibu kwa binadamu alielelewa kwenye maadili mema

Anakupa Asante kisa watoto sio wako?
Sio wanawake wote ni wazinifu kuna wengine wamekulia katika maadili mazuri
Na wapo walioridhika pia kwa mwanaume mmoja
Na kama hilo lipo basi ni kwa baadhi ila society yetu wanaangaliana sana na wanaogopa sana Mambo kama hayo ya Uswahili

Kukulia na kuzaliwa uswahilini kuna changamoto nyingi sana kutokana na maisha yalivyo Mkuu
Kama utakuwa na mawazo hayo hata mama yako unaweza kumtilia mashaka na hiyo ni mbaya sana kuwa na mawazo ya hivyo
 
Ni shida ya mtu mmoja sio wote na ukiona hivyo ujue huyo hata kumshukuru Muumba wake ni ngumu mno, hata nyie mpo pia wenye tabia hiyo
Sasa ndio uniseme!?[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…