Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Pole ndugu kwa mke wako kutokuwa na shukrani. Sisi wengine tunapewa shukrani tena ya kupigiwa magoti. Hayo magoti huwa yananipa deni la kuendelea kumpenda zaidi na kuzidisha mazawadi.Daah.
Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile.
Sura kaavu.
Hapa unakuta unatype mzee afu baby mama yuko pembeni na bado umemdanganya ashura aje kesho leo hutakuepoπ€£π€£kwa ground mambo ni tofautiKwa mwanaume kijana mwenye vision na focus ya kutajirika maishani, hutakiwi kbs kuwa na girlfriend.
Kama huwezi kuzua lust (nyege), basi kuwa na girl mmoja tu, tena kusex ni mara 1-2 kwa mwaka.
Jifunze sperm retention, epuka unnecessary liabilities. Build your empire!
Nakubusu wwππ Umejibu kwa uwoga jaman,mpka Mungu umemtaja
Mm pia nilivyoona hii ID yko nimewaza kwann umajiita ivyo
πNakubusu ww
Kwamba mke wangu kanipikia ugali nimekula nimeshiba niseme Asante nitasema lakini sijaona kingine[emoji1787]Ni shida ya mtu mmoja sio wote na ukiona hivyo ujue huyo hata kumshukuru Muumba wake ni ngumu mno, hata nyie mpo pia wenye tabia hiyo
hata ukimpa haki yake akakufikisha au mkifishana unasema asanteKwamba mke wangu kanipikia ugali nimekula nimeshiba niseme Asante nitasema lakini sijaona kingine[emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hata ukimpa haki yake akakufikisha au mkifishana unasema asante
Mzee naona siku hizi umehamia MMU, siasa hutaki tena.πππDaah.
Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile.
Sura kaavu.
nimeon aibu hahahha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukitaka kujua tabia ya mkeo mtizame mamkwe wako wala usipate tabuHi tabia alikuwa nayo wife. Kuna siku mama yake nae alipata shida akaomba nimsaidie kiasi fulani cha pesa. Nikamtumia kwa Mpesa. Akauchuna hakusema lolote wala asante. Iliniuma sana. Kabla ya hapo alikuwa ananipigia zaidi ya mara mbili kwa siku kuulizia. Nikajua kumbe hii tabia wife amerithi kwa bi mkubwa wake.
Kwa jinsi nilivyochukia yule mama mkwe anahisi nina roho mbaya. Maana yake baada ya hapo kila akitangaza shida nampitisha kavu.
Na wife nae nilimchana tabia yake. Siku hizi amebadilika.
ndio .....Mguu upoo??
Ukizingatia ile core need ni win win situationDaah.
Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile.
Sura kaavu.
Utaelewa tuuπππππππππ€π€π€£π€£π€£Daah.
Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile.
Sura kaavu.