Hivi kwanini pakstani inawafukuza mamilion ya wa afghanistan? Wakati wote ni jamii moja na majarity ni dini Moja?

Hivi kwanini pakstani inawafukuza mamilion ya wa afghanistan? Wakati wote ni jamii moja na majarity ni dini Moja?

Sio jamii moja kihivyo, jamii kubwa ya Afghanistan ni Pashtuns wakati jamii kubwa ya Pakistan ni Punjabis. Pakistan iko na undugu mkubwa zaidi na jamii za India wakati Afghanistan iko na undugu mkubwa zaidi na jamii za Iran, Iraq, Uzbekistan, Tajikistan na Turkmenistan.
Hapo kazi ipo
Hizi jamii zinafanya binadamu aonekane sio kiumbe cha thaman
 
Wana kamdomo wa CCM hapa JF wakiongozwa na moderator wao JF watakuja kusema kupitia wanachama wao
IMG_1265.jpeg
 
Siyo wananchi wanaorudishwa wachokozi hapana. Wameishi hapo miaka na miaka kama ndugu. Ila toka Taleban karudi kwenye uongozi, imekuwa shida. Kwa hasira Pakistan kaona nina watu wenu, nawarudishia. Ila hawawakomoi Taleban wanaoumia ni wahamiaji.

Ni huruma wanavyorudishwa, wengine ndiyo mara ya kwanza wanakanyaga Afghanistan toka kuzaliwa, hawajui wanaanzia wapi, mbaya mtaleban yuko hapo km kiongozi ni maisha magumu sana.
Duh pole zao wanatumia Sheria gan kufanya unyama kama huo?

Hawana hata MUNGU hawo

Kwahiyo mtu alikuwa na nyumba yake na makazi yake na biashara zake wao wana mfrusha na kuacha vyote?
 
Wa afghanistan wanateseka Sana nchini pakstani

Wanafukuzwa ila hawataki kuondoka wanasema wakirudi maisha yao yanakuwa hatarini

Hata hivyo pakstani imewabeba kinguvu na kuwarudisha kwa maelfu!

Ninachojiuliza dini ya kiislam inahamasisha muislam mpende muislam mwenzako na hizi nchi asilimia kubwa ni km za kiislam kwanini wasiwahifadhi waislam wenzake?

Nb afghanistan inaongozwa na talban (chama kinachofuata itikadi za kiislam)
Dini inaingiaje kwenye mambo ya nchi? Tupunguze ujuaji.
 
Duh pole zao wanatumia Sheria gan kufanya unyama kama huo?

Hawana hata MUNGU hawo

Kwahiyo mtu alikuwa na nyumba yake na makazi yake na biashara zake wao wana mfrusha na kuacha vyote?
Ni kama kule west bank tu kwa taifa pendwa ndugu mtanzania🤣
 
Ni kama kule west bank tu kwa taifa pendwa ndugu mtanzania🤣
Hatari sana ni mwendo wa kuoneana tu

Hakuna elimu mbaya kama elimu ya kufundisha watu visasi na kuchukiana

Waislam na wayahudi hii elimu ya kisasi ni khaki ndo inayowatesa na kuwateketeza
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Pakistan haijawahi kuwa na ugomvi na Taliban au Al-Qaeda, serikali ya Pakistan huwa inajifanya tu ili ipewe pesa na Marekani. Makundi ya kigaidi ni mradi wa jeshi la Pakistan na ISI. Shirika la ujasusi la ISI la Pakistan ndio walezi wa magaidi nchini Afghanistan na baadhi ya maeneo ya Pakistan, hata Osama hao ISI walikuwa wanajua amejificha nusu kiliometa tu kutoka chuo kikuu cha jeshi la Pakistan.
CIA hawajui ila wewe mmatumbi wa sangamwalugesha unajua! 😄😄😄🙌🙌
 
Hatari sana ni mwendo wa kuoneana tu

Hakuna elimu mbaya kama elimu ya kufundisha watu visasi na kuchukiana

Waislam na wayahudi hii elimu ya kisasi ni khaki ndo inayowatesa na kuwateketeza
Wakristo umewatoa kwenye hilo kundi👀?

Let me bring you up to speed.

Nenda twita kuna account initwa " radio genoa" ifollow kupitia content zake itakuonesha huko ulaya kuna wimbi la wakristo wanaona kwamba wao wamekua nyuma sana na kama kawaida mkuu wakianza huku kwengine linakua suala la muda tu.

Haya maisha ni changamoto sana mkuu
 
Wa afghanistan wanateseka Sana nchini pakstani

Wanafukuzwa ila hawataki kuondoka wanasema wakirudi maisha yao yanakuwa hatarini

Hata hivyo pakstani imewabeba kinguvu na kuwarudisha kwa maelfu!

Ninachojiuliza dini ya kiislam inahamasisha muislam mpende muislam mwenzako na hizi nchi asilimia kubwa ni km za kiislam kwanini wasiwahifadhi waislam wenzake?

Nb afghanistan inaongozwa na talban (chama kinachofuata itikadi za kiislam)
Sikiliza rafiki, nampenda Mungu, ila ngoja nikwambie jambo Moja, dini imetumika kama silaha ya kumuumiza binadamu, ugaidi , Vita vyenye mlengo wa kidini huko Nigeria, afrika ya kati na hata vuguvugu la mashariki ya kati, wahasisi wa Vita hivyo ni mashetani typical, na wanachofaidika nacho ni rasilimali za kidunia, kama mafuta, masoko ya bidhaa muhimu ,madini na hata political support, Hawa ukizama deeply utagundua si ajabu hawamini hata kama Mungu yupo


We unakuwa trained kama mfia imani, yeye anakuona kama weapon ,

Fuatilia maisha ya Osama Kuna kitu utagundua, lakini chini yake wangapi wamejitoa muhanga!? Ugaidi ni kama project ya kula pesa za watu, tangaza msimamo wako kuhusu dini Fulani, wale wanoamini wataleta pesa kwako kama sadaka, alshababu mfano, kama umewahi sikia imekuwa supported sana na wafanyabiashara wenye imani ile wakiamini wao wanaweka pesa kusuport Jihad,. , Hivo ni sadaka, Sasa fuatilia maisha ya viongozi wa alshababu yalivyojaa anasa !?


NB , MUNGU YUPO ,NA MSINGI WA UWEPO WAKE NI ILI KILA MTU APONE NA AMTAMBUE, HUYO ADUI YAKO UNAYETAMANI AFE HATA KESHO YEYE MUNGU ANATAMANI ABADILIKE KABLA HAJAFA, SO UKIONA DINI INA UBAGUZI FLANI NDANI YAKE JUA SHETWANI ANAENDELEA KUTIMIZA HAJA ZAKE, MPENDE KILA MTU, HUU NDIO MSINGI WA MUNGU HALISI
 
Wa afghanistan wanateseka Sana nchini pakstani

Wanafukuzwa ila hawataki kuondoka wanasema wakirudi maisha yao yanakuwa hatarini

Hata hivyo pakstani imewabeba kinguvu na kuwarudisha kwa maelfu!

Ninachojiuliza dini ya kiislam inahamasisha muislam mpende muislam mwenzako na hizi nchi asilimia kubwa ni km za kiislam kwanini wasiwahifadhi waislam wenzake?

Nb afghanistan inaongozwa na talban (chama kinachofuata itikadi za kiislam)
Tuambie na Tramp alikuwa anajenga ukuta pale Mexico kuzuiya Waislam wasiingie Marekani !!!!?????

sio Wakristo kama yeye na Wazungu kama yeye Tuanzie apo???
 
Tuambie na Tramp alikuwa anajenga ukuta pale Mexico kuzuiya Waislam wasiingie Marekani !!!!?????

sio Wakristo kama yeye na Wazungu kama yeye Tuanzie apo???
Trump hajui hata mstari mmoja wa Biblia.
 
Wakristo wengi wa umu vichwan weupe sana !!!!

na waoga sana japo wanapenda kuchokoza Iman za wengine !!

mada zao zakipumbavu kama jinsi walivo vichwani uwa nacheka sanaaa mwenye apo ndio anajiona Bonge la mfanya propaganda kumbe zuzu tuuuu..
 
Tuambie na Tramp alikuwa anajenga ukuta pale Mexico kuzuiya Waislam wasiingie Marekani !!!!?????

sio Wakristo kama yeye na Wazungu kama yeye Tuanzie apo???
Msamehe sana muhindi aka khanji
 
Back
Top Bottom