Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,559
- 8,318
Sasa hii inaonyesha wapi Pakistan wanakula tu pesa za US kitapeli!
Sasa hii inaonyesha wapi Pakistan wanakula tu pesa za US kitapeli!
Lakini si ni ndg ktk imaniSio jamii moja kihivyo, jamii kubwa ya Afghanistan ni Pashtuns wakati jamii kubwa ya Pakistan ni Punjabis. Pakistan iko na undugu mkubwa zaidi na jamii za India wakati Afghanistan iko na undugu mkubwa zaidi na jamii za Iran, Iraq, Uzbekistan, Tajikistan na Turkmenistan.
Kuna mahali nimesema CIA na US hawajui Pakistan inazuga tu katika vita dhidi ya ugaidi??kwa hiyo huo ndo ushahidi kwamba Pakistan wanazuga tu kula pesa za US bila CIA na US kujua 😂😂😂🙌🙌
kwa hiyo CIA wanajua nchi yao inaliwa pesa tu 😂😂😂Kuna mahali nimesema CIA na US hawajui Pakistan inazuga tu katika vita dhidi ya ugaidi??
Ningekupa vitabu vya kusoma maafisa wa CIA na Pentagon wakizungumzia usanii wa Pakistan katika ugaidi ila najua huna kichwa cha kusoma hata kurasa mbili za vitabu vya aina hiyo.
Kuna wengine wanajiona wana imani zaidi ya wengineLakini si ni ndg ktk imani
Umeniongezea kituSikiliza rafiki, nampenda Mungu, ila ngoja nikwambie jambo Moja, dini imetumika kama silaha ya kumuumiza binadamu, ugaidi , Vita vyenye mlengo wa kidini huko Nigeria, afrika ya kati na hata vuguvugu la mashariki ya kati, wahasisi wa Vita hivyo ni mashetani typical, na wanachofaidika nacho ni rasilimali za kidunia, kama mafuta, masoko ya bidhaa muhimu ,madini na hata political support, Hawa ukizama deeply utagundua si ajabu hawamini hata kama Mungu yupo
We unakuwa trained kama mfia imani, yeye anakuona kama weapon ,
Fuatilia maisha ya Osama Kuna kitu utagundua, lakini chini yake wangapi wamejitoa muhanga!? Ugaidi ni kama project ya kula pesa za watu, tangaza msimamo wako kuhusu dini Fulani, wale wanoamini wataleta pesa kwako kama sadaka, alshababu mfano, kama umewahi sikia imekuwa supported sana na wafanyabiashara wenye imani ile wakiamini wao wanaweka pesa kusuport Jihad,. , Hivo ni sadaka, Sasa fuatilia maisha ya viongozi wa alshababu yalivyojaa anasa !?
NB , MUNGU YUPO ,NA MSINGI WA UWEPO WAKE NI ILI KILA MTU APONE NA AMTAMBUE, HUYO ADUI YAKO UNAYETAMANI AFE HATA KESHO YEYE MUNGU ANATAMANI ABADILIKE KABLA HAJAFA, SO UKIONA DINI INA UBAGUZI FLANI NDANI YAKE JUA SHETWANI ANAENDELEA KUTIMIZA HAJA ZAKE, MPENDE KILA MTU, HUU NDIO MSINGI WA MUNGU HALISI
NaZungumzia kwenye imani yetu kuwa waislam ni nduguTuambie na Tramp alikuwa anajenga ukuta pale Mexico kuzuiya Waislam wasiingie Marekani !!!!?????
sio Wakristo kama yeye na Wazungu kama yeye Tuanzie apo???