Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

Wewe ngoja ifike wakati wa kuondoka halafu uone hauwezi kuondoka ndio utajua hujui
A ha ha ha hapana mkuu mimi kila ijumaa narudi zangu dsm, mpaka mwezi February issue niliyokuja kuifanya huku itakuwa imeisha ntarudi.
 
Wenyewe Wanapambana Mkoa Yaani Jiji Ligawanywe
Kuwe Na Mkoa Wa Tanga, Na Wengine Waitwe Mkoa Wa Usambara.

Nakukumbusha Usishangae Tanga, Umefika Dodoma Lini Nalo Ni Jiji

Morogoro Yenye Hotels Nyingi Nzuri Inasubiri
Dodoma Ambayo Haiwezi Kupokea Wageni Wa Kimataifa
Ni Jiji
Mkuu lini umepita dodoma last time? Dodoma inapanuka kiasi ata ukiangalia through gmap utashtuka kitu
 
Back
Top Bottom