Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

Kwa nchi nyingi, Halmashauri yenye watu zaidi ya milioni 1 inakuwa jiji... kwaiyo Tanga inawatu zaidi ya 1milioni

Ikizidi milioni 10 hupewa hadhi ya Mega city
 
Dodoma nimekaa siku 6 na nilizunguka kidogo, nipikuwepo pale mwezi wapili mwaka huu, afadhari ya dodoma kuliko Tanga, lkn napo dodoma haina hadhi yakuwa jiji, napo nisehemu ya ajabu sana.
Ulikaa Hukuielewa

Hutaielewa Hiyo Mpaka
 
Kwa nchi nyingi, Halmashauri yenye watu zaidi ya milioni 1 inakuwa jiji... kwaiyo Tanga inawatu zaidi ya 1milioni

Ikizidi milioni 10 hupewa hadhi ya Mega city
Kwahio mkuu Tanga inafaa kuitwa jiji?
 
Kwanza tuinishie sifa rasmi za mahali fulani kufanywa jiji, ndio utuambie Tanga imepungukiwa nini. Maana kutuambia Tanga unakula wali samaki kwa bei poa kuliko Dar kwa hiyo haifai kuwa jiji na kutegemea tujibu na kujadili hilo ni sawa na kutufanya sisi wenda wazimu
 
Tanga sawa na Tabora tu.
 
Tanga patamu mkuu hebu tafuta mwenyeji. Watoto wa kiswahili wanavaa hijabu wamotooo hao halafu hawana hiyana.
 
Nafikiri yote uliyotaja kasoro yanayohusu ngono, ndio yaliyopelekea likawa Jiji. Kama wewe huoni basi ni udhaifu wako.
 
Back
Top Bottom