Ni nini kiliirudisha nyuma sasa mpaka kuja kuzidiwa na hiyo mikoa mkuuTanga ilianza kuendelea kabla ya Arusha na Dar, Hata vitu vingi vimeanzia tanga nikukumbushe tu Hydro Power station ya kwanza ilikuwa Tanga Hale MW 21 na ilizinduliwa na Baba Wa Taifa Nyerere 1964, Shule ya kwanza ya serikali ilijengwa Tanga nayo ni Tanga technical school Aliposoma Rais mstaafu Kikwete, Tukisema Viwanda Tanga ilitisha sana
Huko Noma Sana , nimekaa miaka miwili pale nguvu Mali, hatari tupu , amsha amsha hamna kabisa .....Mkuu vipi majani mapana, mapinduzi,nguvumali, donge,Gofu chini/juu, Airport.
Kuna sehemu moja hivi wanapaita uzunguni huko ndio kuna vyumba self za 70/80. Yaani huko ndio wanaishi wenye unafuu wa maishaa Tanga. Sehemu ambapo hata Mbezi ya Kimara inamajengo mazuri kuliko Uzunguni Tanga.
Nyumba unapata kwa bei ya 180,000 ya vyumba vinne, kimoja master.
Kule unaoa mwanamke Kwa ubani wa Tsh300 , ukifika home Kwa demu , wazazi wake wanakuachia gheto , ukiwaachia wazazi wake 30000 jiandae kupigwa limbwata si ya nchi hii ..... Kama we ni mpambanaji stay far away from Tanga city.... Ila kama una ajira za kupewa mshahara Tanga ni sehemu sahihi ya kuishi kuliko hata dsm...Tanga ya maajabu sana! Angalia
1. Mtoto atapigwa afe kama hakwenda "chuo", lakini formal school ni hiari yake!
2. Mwanamke anajipamba malaki mwilini lkn angalia nyumba anakotokea, hata Mbwa hawezi kukaa
3. Ni rahisi kuvunja ndoa kuliko kukosa dera.
4. Mwanamke kuwa na Madera 50 ni kawaida
5. Harusi ya kufa MTU ni kibarazani kwenye hema moja, " kinywaji" ni maandazi, maharage , ugali na muziki wa nguvu kwa siku tatu
5. Dini ya mtume SAW ni maisha yao Alfa na omega
6. Mzazi kumtukana mtoto matusi ya nguoni makali mfn mb....ya baba yako kawaida sana mbele ya kadamnasi.. udigoni
7. Ongezea......
Ni fedheha kwa Tanga kuitwa jiji. Linyang'anywe hiyo hadhi.Hivi kwa nini Tanga ni Jiji, maana naona pilikapilika kama za majiji mengine hazipo kabisa, ni Mji ambao umepoa mithiri ya Tabora, baiskeli huku ndio nyingi kuliko magari.
Vijiwe vya vijana vipo kila mahala, huku maisha ni mepesi sana, yaani ukiwa na 500 unakula ugali na mboga za majani.
Ukienda kula wali samaki unapewa kibua mzima na wali eti elfu 2.
Nyumba za majani zipo mpaka katikati ya mji, nyumba zenye vibaraza vikubwa zile za kizamani ndio zimejaa.
Nyumba za matofali ya tope zipo kila mahala. Nyumba za miti pia bado zipo.
Wale wanawake wazuri wa Kitanga wala huku siwaoni kabisa, hivi hii ndio Tanga niliyokuwa naisikia nikiwa Dar es Salaam.
Au kuna Tanga nyingine wakuu? Tofauti na hii ya Forodhani, Chumbageni, 16, Donge, Majani Mapana, Gofu Chini n.k.
Sehemu za kula bata Tanga hazipo kabisa. Wanawake wa huku wanapenda wageni sana kuliko wenyeji sijui kwa nini?
Kiukweli Tanga ni sawa na Tabora tu, Wala Tanga haina hadhi ya kuwa Jiji.
Kumbe wewe mning'inia! Safi sana, piga kazi!A ha ha ha hapana Mkuu, mimi nimekuja kucalibrate baadhi ya machine katika viwanda vilivyoko huku.
Nakubaliana na wewe 100%.Kule unaoa mwanamke Kwa ubani wa Tsh300 , ukifika home Kwa demu , wazazi wake wanakuachia gheto , ukiwaachia wazazi wake 30000 jiandae kupigwa limbwata si ya nchi hii ..... Kama we ni mpambanaji stay far away from Tanga city.... Ila kama una ajira za kupewa mshahara Tanga ni sehemu sahihi ya kuishi kuliko hata dsm...
Mkuu nikweli kabisa nguvu mali sindio hapo karibu na veta pamoja na majani mapana?. Hapo napafaham.Huko Noma Sana , nimekaa miaka miwili pale nguvu Mali, hatari tupu , amsha amsha hamna kabisa .....
Mkuu jiji nyumba nzima mtu anakaa kwa 180,000 vyumba vinne, dh,store, sitting room.Sasa mkuu vitu kuwa bei chee ndio mji haufai kuwa jiji si uingie hoteli za kitalii ukapate bei za hadhi yako
Hii ni Dubai mkuu.Kigoma Vp Nayo
Hivi kati ya Pwani na Tanga ni wapi kuna viwanda vingi mkuu?Ila wabongo dah nimewavulia kofia, kula wali na kibua kwa 2000 analalamika anataka auziwe 5000 ndio aone kuwa ni jiji? Tanga chakula kingi sana
Nyumba kuwa nyingi kiasi kodi lazima iwe ndogo pia analalamika? (refer Demand and supply) Unataka upangishwe kwa 350k kama dar ndio uone kuwa ni jiji?
Safari yoyote within a city kama una usafiri basi haizidi 15minutes umefika(hakuna foleni kwa sababu mji umepangika haswa) lakini pia utalalamika hakuna foleni
Maji yanayotoka bombani unaweza kunywa bila kuyachemsha na yasikupe shida yoyote, sasa kanywe ya dar au dodoma uone balaa lake
Tanga kwa sasa ni mkoa unaoufuatia dar kwa viwanda, ambacho ni kigezo kikubwa pia kwenye kuupa mkoa hadhi ya jiji
Kama unaangalia starehe tu peke yake ndugu, naomba nikukumbushe kuwa hata paris ni jiji, ila huwezi fananisha na dar
Haa😁😂😅😄😄Hii ni Dubai mkuu.
Halafu watu wahuku wanaongea saanaa, hasa wanawake wanapayuka, labda nihawa waliopo katika viwanda tu.Ulivokuwa unaomba kura ulisemaje?
Uchaguzi umepita unawageuka wadigo mchana kweupe!
Kwahio mkuu unapenda zinaa.Nachoipendea tanga wanawake wake wengi ukiwacheki utadhani wa dini sana ila ukitongoza hakatai
Umeelezea vizuri japo,hujamalizia mengi kamaTanga ilianza kuendelea kabla ya Arusha na Dar, Hata vitu vingi vimeanzia tanga nikukumbushe tu Hydro Power station ya kwanza ilikuwa Tanga Hale MW 21 na ilizinduliwa na Baba Wa Taifa Nyerere 1964, Shule ya kwanza ya serikali ilijengwa Tanga nayo ni Tanga technical school Aliposoma Rais mstaafu Kikwete, Tukisema Viwanda Tanga ilitisha sana