Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

kwa kweli hata mimi nilipofika huko sikupaelewa.......wanawake wakitanga wazuri sikuwaona ....Tanga raha sikuiona...ni kama Lindi au Tabora flani
Nikweli mkuu, Tanga yakwenye vuombo vya habari sio Tanga halisi
 
Umemaliza mjadala.Umeelezea vizuri kabisa.
Kange hio kange uzunguni(kama inaenda babara ya dsm iko upande wakushoto baada yakutoka Tanga fresh hio hamna kitu, nilikaa mpaka bar ya Las Vegas kule,kange nkumura.
 
Tatizo lako umetembea katika barabara za namba basi ukaamua kuandika uzi. Tanga imejengeka nje ya mji fika Kange, Kasera, Pongwe, Nguvumali, Sahare, Mwahako uone miji ilivyojengwa na inavyoendelea kujengwa
Nguvumali siipo katikati ya veta na majan mapana,Kange uzunguni ipo mbele kidogo ya Tanga fresh, huko nkumura, sahare kote nimefika hamna kitu.
 
Mji wowote wenye bandari,hata moja,kupitia bahari,tayari hilo ni jiji,hiyo inapelekea huo mji kupakana na majiji kadhaa ,ulimwenguni,yaliyopitiwa na bahari husika.Je Tanga ambayo ina bandari kadhaa za kisasa,ukianzia1. Bandari ya kushusha Mizigo,ambayo ni bandari ya kisasa,ikiwa na ofisi za jengo kubwa la ghorofa karibia nane,na la kisasa.
2.Bandari ya kisasa,karibia tatu,zilizosehemu tofauti za kushusha mafuta(Depot).
.3.Bandari ya kisasa ya kusafirisha mafuta kutoka Uganda.
4.Bandari za kusafirisha abiria,
Hapo hatujagusia,mazao ya biashara,viwanda,miundombinu,uvuvi wa bahari ya hindi.
5.Bandari za uvuvi wa samaki.
6.Mahotel ya kitalii,yaliyo kando ya fukwe za bahari.
7.Visiwa vya kitalii,vinavyozungukwa na bahari.
8....
Vipi Mtwara?. Zanzibar ina majiji mangapi?.
 
Dodoma huo mkoa unakua kwa kasi

Kinachoa ni maji ya chumvi tena chumvi kwelikweli.
 
Kuna jamaa alipata demu huko, wakati anamtafuna demu akawa anasema "baby jirani aona wivu! Na yeye apenda!" Ikabidi jamaa apunguze spidi, kumbe alikuwa hajui atendalo, hakumjua jirani anayemaanishwa.
 
Kuna jamaa alipata demu huko, wakati anamtafuna demu akawa anasema "baby jirani aona wivu! Na yeye apenda!" Ikabidi jamaa apunguze spidi, kumbe alikuwa hajui atendalo, hakumjua jirani anayemaanishwa.
Mkuu alimanisha jirani yupi?.😀😀
 
Mkuuu bora Tanga siyo Kijiji kikubwa Cha mbeya , nimetembea na kuishi na kufanya kazi maeneo tofauti hata huko Tanga ila kile Kijiji Cha wanyakyusa na wasafwa siyo sehemu ya kuishi Kama una akili Timamu,,
Mkuu nenda mbeya utaisi upo Karahali desert ,kijiji kina road moja tuu ya kwenda Zambia ,kijiji hakina mpango mji wowote nyumba hovyo hovyo , Kijiji kina mvumbi kile sijawahi ona Tanzania hii, Kijiji hakina sehemu yoyote ya starehe , Kijiji kina wanawake wachafu Sana na wamejichubua Sana ila wana mili mikubwa Sana utazani tembo na matako magumu magumu unaweza zani kafunga matikiti, Kijiji kinatope mvua zikianza ,

Yani bora Tanga mkuu
Utakuw unachuki binafsi na mbeya.naona watakuw walikufanya Jambo baya,punguza mihemko Kijiji kimoja umepita umemaliza mby.
 
Sasa ndio ujue kuwa Tanga ni pazuri na inabidi upaheshimu, hilo jiji la Tanga limekufanya umetoka huko ulikotoka na kwenda kutafutia hela Tanga na sio Tabora wala Mtwara.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mimi Tabora, Dodoma,Zanzibar,Morogoro na karibia 70% yamikoa ya Tz kote nimeshika nakazi zangu ndio zilinipeleka huko. Kwahio sio Tanga pekee lkn nimemshangaa tu hichi Kijiji kuitwa jiji.
 
Kiujumla Tu Tanga hamna kitu kule , umwinyi mwingi Sana .....
 
Back
Top Bottom