Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,507
- 34,689
Acha tu mkuu 😂haya mambo hayataki hasira[emoji23][emoji23][emoji23]you made my moment
Acha tu mkuu 😂haya mambo hayataki hasira[emoji23][emoji23][emoji23]you made my moment
Wanawake wazuri wanavaa hijab na niqab, siyo wanaovaa nusu uchi kama mikoa mingine, utawaonea wapi.Tanga hao wanawake wenyewe wazuri hawapo nistori tu tunazozisikiaga tukiwa mbali, lakini Tanga sio sehemu yakuishi.
Mkuu sehem nilipo nipofanya kazi(tenda ya miezi 3) kuna wanawake zaidi ya mianne ,wnakuja asubuhi wamevaa hijabu and nicab, lkn wanavua wanaingia kupiga kazi na nawaona hata ukisema saivi nikupigie picha wanavyopiga kazi utawaona hamna kitu.Wanawake wazuri wanavaa hijab na niqab, siyo wanaovaa nusu uchi kama mikoa mingine, utawaonea wapi.
Ndio uhalisia huu.Kiujumla Tu Tanga hamna kitu kule , umwinyi mwingi Sana .....
Anajua nini huyo achana naye... asiyejua maana haambiwi maanaTanga ilianza kuendelea kabla ya Arusha na Dar, Hata vitu vingi vimeanzia tanga nikukumbushe tu Hydro Power station ya kwanza ilikuwa Tanga Hale MW 21 na ilizinduliwa na Baba Wa Taifa Nyerere 1964, Shule ya kwanza ya serikali ilijengwa Tanga nayo ni Tanga technical school Aliposoma Rais mstaafu Kikwete, Tukisema Viwanda Tanga ilitisha sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu washenzi sanaKuna jamaa alipata demu huko, wakati anamtafuna demu akawa anasema "baby jirani aona wivu! Na yeye apenda!" Ikabidi jamaa apunguze spidi, kumbe alikuwa hajui atendalo, hakumjua jirani anayemaanishwa.
Tanga hamna kitu mkuu, kama Tanga inaitwa jiji basi na Tabora ilitakiwa liwe jiji au Mtwara.Kumbe ndo nyinyi mliofanikisha kuua viwanda mkoani Tanga ila sasa Mola hakuitupa akajaalia pakawa na hadhi bado hamridhiki mnapanajisi namna hiyo
Tanga haina bandari moja,lazima ujuwe na ufahamu,kuna bandari:Vipi Mtwara?. Zanzibar ina majiji mangapi?.
Unamaanisha kilimanjaro au?Hahahah mara kumi Moshi ingeitwa jiji pana hadhi hio kuliko mji mkongwe usioeleweka kuitwa jiji.[emoji23][emoji23][emoji23] Tanga pako hovyo hovyo sana
Wewe no mpuuzii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu kawekea iliki kwenye maji ya kuoga anashindwa kutangaza jiji, anapatia nguvu hiyo wapi?
Umamalizia vizuri sana. Kwasisi tusiopenda fujo kama za dsm, tanga panatufaa sana.Honestly napapenda Tanga. Nilisoma Korogwe girls O level. Ni mkoa ambao kwa sisi tusiopenda fujo ni mzuri sana. Sana sana sana. Serikali ndo itueleze kwanini shughuli za kiuchumi nyingi zimesimama hapo Tanga. Viwanda ni vingi mno. Kama cement nadhan ni vitatu ama zaidi. Bandari safi kabisa. Hydro electic power, mji umejipamgilia regardless ya ubora. Kwanza pale jijini ni kama posta ya dsm exactly. Nadhani msadifu wa kule Tanga ndo wa hukuhuku dsm. Pamefanana mno.
Tatizo landa naloona kwa hawa wenyeji wandele na wabwanga ni wavivu. Lakini wapo wachapakazi.
Wenyeji wasipochangamkia fursa wahamiaji watatawala kabisa mkoa.
Mkoa umejaa mapori tu kitu ambacho kwa kilimanjaro no nadra kuona.
Serikali iangalie upya juu ya jiji la Tanga. Hivyo viwanda, plantations etc waangalie namna itawezekana wafufue upya na kuwezesha soko la kimataifa tupate fedha za kigeni.
Tanga is beautiful bwana. Kautulivu kazuri, affordable life, hali ya hewa taamu... mengine tuwaachie wenyeji wenyewe
Mkuu umetukanaTanga Ni nyoko
Tanga haina utofauti na Tabora.Honestly napapenda Tanga. Nilisoma Korogwe girls O level. Ni mkoa ambao kwa sisi tusiopenda fujo ni mzuri sana. Sana sana sana. Serikali ndo itueleze kwanini shughuli za kiuchumi nyingi zimesimama hapo Tanga. Viwanda ni vingi mno. Kama cement nadhan ni vitatu ama zaidi. Bandari safi kabisa. Hydro electic power, mji umejipamgilia regardless ya ubora. Kwanza pale jijini ni kama posta ya dsm exactly. Nadhani msadifu wa kule Tanga ndo wa hukuhuku dsm. Pamefanana mno.
Tatizo landa naloona kwa hawa wenyeji wandele na wabwanga ni wavivu. Lakini wapo wachapakazi.
Wenyeji wasipochangamkia fursa wahamiaji watatawala kabisa mkoa.
Mkoa umejaa mapori tu kitu ambacho kwa kilimanjaro no nadra kuona.
Serikali iangalie upya juu ya jiji la Tanga. Hivyo viwanda, plantations etc waangalie namna itawezekana wafufue upya na kuwezesha soko la kimataifa tupate fedha za kigeni.
Tanga is beautiful bwana. Kautulivu kazuri, affordable life, hali ya hewa taamu... mengine tuwaachie wenyeji wenyewe
Yes. Napenda sana sehem tulivu. Halafu pale Tanga Beach Resort mbona pazuri sana pa kubariz mkuu akatembelee hapo kama hataki kuonanana na wale washinda vibarazani.Umamalizia vizuri sana. Kwasisi tusiopenda fujo kama za dsm, tanga panatufaa sana.
huu ni ukwel ... utapata wapi nguvu ya kusema chochote kwa mapokez hayo😂ðŸ¤Wewe no mpuuzii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni ukweli pamepooza ila jiji limepangila kuliko dsm. Huo ndo ukweli. Ni ishu ya kufufuliwa hizo taasisi zilizokufaTanga haina utofauti na Tabora.
Thank u. You made my night[emoji28][emoji28]huu ni ukwel ... utapata wapi nguvu ya kusema chochote kwa mapokez hayo[emoji23][emoji2960]