Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

Tungeweka hapa vigezo vinavyoangaliwa ili sehemu husika iweze kuitwa jiji.mfano idadi ya watu,vyanzo vya kipato cha wakazi na shughuli za uchumi,ukubwa wa eneo nk
Kwakufanya hivyo tunaweza kutoa hukumu.
 
tanga kihistoria ndio ilikua jiji. enzi zile za ma sisal baron wakina mohamedal karimjee unaijua ilivokuwa tanga?? mwaka 1955 queen Margaret alikuja Tanga kwa happy birthday yake.wa kina abdula karmijees walikuwapo.tanga ndio ndege ya British airways ilikua na direct route kutoka England mpaka tanga na sio dar es salamaa.
European quarter huko raskazone ndio utajua naaa hili lilikua jiji hasa.
ni masikitiko makubwa sana kama wewe ungekua unajua historia ungekaa chini ukasanda .
acha kabisa Tanga ndio ilikua imekaliwa na ma don wakina karimjees wapo kule maweni sisal farm ambaye alikuja kumuona mtoto wa binti wa mlowezi wa kijeruman aliyeitwa Kianga Raniiger.
Tanga has everything hadhi ya jiji imekuja kuzizima hivi tu kimasihara masihara.
uwe na adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
nasikia hata kwenye mapenzi balaa
 
Kama una Akili Timamu pambana Sana kuishi maeneo haya
1.Dar es salaam
2.Tanga
3.Arusha
4.Mwanza
5.Morogoro
6. Pwani

Mikoa mingine ambayo hutakiwi kuishi Kama unajitambuwa na una Akili nzuri ,maana hata ukikomaa laziima ufe haraka na kuzeeka haraka ni mikoa ya
1.Dodoma
2.Iringa
3.Rukwa
4.Simiyu
5.Tabora
6.singida
7.Songwe
8.Njombe
9.Ruvuma
10.Shinyanga
11.Katavi
12.Mara
13.kigoma, huku ndiyo balaa
14.Na mikoa mingine iliyobaki siyo sehemu ya kuishi binadamu
mbona kuna watu wanaishi Njombe na wana maisha mazuri kuliko hao wa Dar?
 
Mkuuu bora Tanga siyo Kijiji kikubwa Cha mbeya , nimetembea na kuishi na kufanya kazi maeneo tofauti hata huko Tanga ila kile Kijiji Cha wanyakyusa na wasafwa siyo sehemu ya kuishi Kama una akili Timamu,,
Mkuu nenda mbeya utaisi upo Karahali desert ,kijiji kina road moja tuu ya kwenda Zambia ,kijiji hakina mpango mji wowote nyumba hovyo hovyo , Kijiji kina mvumbi kile sijawahi ona Tanzania hii, Kijiji hakina sehemu yoyote ya starehe , Kijiji kina wanawake wachafu Sana na wamejichubua Sana ila wana mili mikubwa Sana utazani tembo na matako magumu magumu unaweza zani kafunga matikiti, Kijiji kinatope mvua zikianza ,

Yani bora Tanga mkuu
unataka ugomvi na wanyakyusa
 
Hivi kwa nini Tanga ni Jiji, maana naona pilikapilika kama za majiji mengine hazipo kabisa, ni Mji ambao umepoa mithiri ya Tabora, baiskeli huku ndio nyingi kuliko magari.

Vijiwe vya vijana vipo kila mahala, huku maisha ni mepesi sana, yaani ukiwa na 500 unakula ugali na mboga za majani.

Ukienda kula wali samaki unapewa kibua mzima na wali eti elfu 2. Nyumba za majani zipo mpaka katikati ya mji, nyumba zenye vibaraza vikubwa zile za kizamani ndio zimejaa.

Nyumba za matofali ya tope zipo kila mahala. Nyumba za miti pia bado zipo.

Wale wanawake wazuri wa Kitanga wala huku siwaoni kabisa, hivi hii ndio Tanga niliyokuwa naisikia nikiwa Dar es Salaam. Au kuna Tanga nyingine wakuu? Tofauti na hii ya Forodhani, Chumbageni, 16, Donge, Majani Mapana, Gofu Chini n.k.

Sehemu za kula bata Tanga hazipo kabisa. Wanawake wa huku wanapenda wageni sana kuliko wenyeji sijui kwa nini?

Kiukweli Tanga ni sawa na Tabora tu, Wala Tanga haina hadhi ya kuwa Jiji.
Tanga ni mji ulioshamiri majini na ushirikina. Wana Tanga hawawezi fanya kitu bila kutumia ndumba, yaani sawa na kina Diamond kule Kigoma. We umeona wapi mtu kupika chai tu lazima atumie dawa za kienyeji, wanadai mapenzi yapo Tanga wakati si kweli. Kule usipokuwa makini unarogwa ili usahau unakotoka. Mwanamke anakuogesha unadhani unapendwa kumbe anakusafisha ili usahau mkeo na uoe yeye na kutunza ukoo wake.
 
Hilo jiji walitunukiwa mkuu, maana sio kwa mahaba yale wallah [emoji12][emoji12]
Pale HAKUNA mahaba ni ushirikina tu, kama uamini muulize hata Tunu Hassan wa EFM Radio ama dada Ummy Mwalimu. Tanga si mwanamke wala mwanamme wote ni washirikina tu. Inasadikika hata dada yake January Makamba naye anatuhumiwa na wenzake kuwa ni mwizi wa waume za watu kwa kutumia midawa ya kienyeji toka kwa babu.
 
ntatembelea huko one day
Kwanini nisipapende. Pazuri mnoo. Mno. Si kila mahali ninpazuri kote. Hata dsm hii hii kuna mitaa unaogopa. Uchangamfu tu ndo ishu? View attachment 1625442View attachment 1625443
Screenshot_20201113-110847_Gallery.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom