Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

Mji wowte wenye bandari,zaidi ya tatu,kupitia bahari kuu,kama Tanga,ikiwa bandari zaidi ya tatu,automatic ni jiji.Bandari hizo,huunganisha na majiji kadhaa ulimwenguni.Indian ocean city.
Mkuu unakaa kikwajuni?.
 
Nasikia mkoloni alikaa huko ndo maana wakapata jiji mapema sana
 
Yes. Napenda sana sehem tulivu. Halafu pale Tanga Beach Resort mbona pazuri sana pa kubariz mkuu akatembelee hapo kama hataki kuonanana na wale washinda vibarazani.
Yah. Ukitaka kwenda sehem yoyote huwazi foleni barabarani, bank n.k. Kila kitu unafanya kwa wakati na huduma zote muhimu na nzuri zinapatikana kwa wingi.
 
.
Hivi kwa nini Tanga ni Jiji, maana naona pilikapilika kama za majiji mengine hazipo kabisa, ni Mji ambao umepoa mithiri ya Tabora, baiskeli huku ndio nyingi kuliko magari.

Vijiwe vya vijana vipo kila mahala, huku maisha ni mepesi sana, yaani ukiwa na 500 unakula ugali na mboga za majani.

Ukienda kula wali samaki unapewa kibua mzima na wali eti elfu 2. Nyumba za majani zipo mpaka katikati ya mji, nyumba zenye vibaraza vikubwa zile za kizamani ndio zimejaa.

Nyumba za matofali ya tope zipo kila mahala. Nyumba za miti pia bado zipo.

Wale wanawake wazuri wa Kitanga wala huku siwaoni kabisa, hivi hii ndio Tanga niliyokuwa naisikia nikiwa Dar es Salaam. Au kuna Tanga nyingine wakuu? Tofauti na hii ya Forodhani, Chumbageni, 16, Donge, Majani Mapana, Gofu Chini n.k.

Sehemu za kula bata Tanga hazipo kabisa. Wanawake wa huku wanapenda wageni sana kuliko wenyeji sijui kwa nini?

Kiukweli Tanga ni sawa na Tabora tu, Wala Tanga haina hadhi ya kuwa Jiji.
Mkoa wa tanga unashangaza sana. Juzi nilikuwa handeni, kufika 19:45 mji mzima wa handeni maduka yamefungwa, yani nataka kutoa hela ktk tigopesa nimeshindwa. Saa mbili mji wote upo kimyaaaa.
 
Tanga ilianza kuendelea kabla ya Arusha na Dar, Hata vitu vingi vimeanzia tanga nikukumbushe tu Hydro Power station ya kwanza ilikuwa Tanga Hale MW 21 na ilizinduliwa na Baba Wa Taifa Nyerere 1964, Shule ya kwanza ya serikali ilijengwa Tanga nayo ni Tanga technical school Aliposoma Rais mstaafu Kikwete, Tukisema Viwanda Tanga ilitisha sana
Tanga, (Pangani ni wilaya ya kwanza kuanzishwa nchini na ni wilaya ya mwisho kimaendeleo nchini)
 
Mkuu nifahamishe vizuri kama Tanga halijawahi kuwa jiji ni nini?. Kikwajuni One eti mkuu Tanga halijawahi kuwa jiji?.
Mji wowote,wenye bandari zaidi ya tatu,na imepitiwa na bahari kuu,kama Tanga,imepitiwa na Indian ocean,automatic ni jiji,kutokana na kupakana na majiji kadhaa ulimwenguni.
 
.
Mkoa wa tanga unashangaza sana. Juzi nilikuwa handeni, kufika 19:45 mji mzima wa handeni maduka yamefungwa, yani nataka kutoa hela ktk tigopesa nimeshindwa. Saa mbili mji wote upo kimyaaaa.
Handeni sio Tanga jiji,Tanga jiji ni mbali na Handeni ni mbali,Handeni ni wilaya iko mkoa wa Tanga,na Tanga jiji ni wilaya iko mkoa wa Tanga.Kuna Tanga mkoa,na wilaya ya Tanga,wilaya ya Tanga,ndio jiji.
 
Hivi kwa nini Tanga ni Jiji, maana naona pilikapilika kama za majiji mengine hazipo kabisa, ni Mji ambao umepoa mithiri ya Tabora, baiskeli huku ndio nyingi kuliko magari.

Vijiwe vya vijana vipo kila mahala, huku maisha ni mepesi sana, yaani ukiwa na 500 unakula ugali na mboga za majani.

Ukienda kula wali samaki unapewa kibua mzima na wali eti elfu 2. Nyumba za majani zipo mpaka katikati ya mji, nyumba zenye vibaraza vikubwa zile za kizamani ndio zimejaa.

Nyumba za matofali ya tope zipo kila mahala. Nyumba za miti pia bado zipo.

Wale wanawake wazuri wa Kitanga wala huku siwaoni kabisa, hivi hii ndio Tanga niliyokuwa naisikia nikiwa Dar es Salaam. Au kuna Tanga nyingine wakuu? Tofauti na hii ya Forodhani, Chumbageni, 16, Donge, Majani Mapana, Gofu Chini n.k.

Sehemu za kula bata Tanga hazipo kabisa. Wanawake wa huku wanapenda wageni sana kuliko wenyeji sijui kwa nini?

Kiukweli Tanga ni sawa na Tabora tu, Wala Tanga haina hadhi ya kuwa Jiji.
Naona Tanga waisikia tu.
Umefika Tanga lakini hujaishi Tanga.
Hujafika Nyumbani Tanga wala sehemu na sehemu.
Vidosho vya kidigo, kisambaa au kibondei huwakuti mitaani kama mgambo.
Nenda sehemu na sehemu, ukibanwa Tanga huondoki.
 
Back
Top Bottom