Mji wowote wenye bandari,hata moja,kupitia bahari,tayari hilo ni jiji,hiyo inapelekea huo mji kupakana na majiji kadhaa ,ulimwenguni,yaliyopitiwa na bahari husika.Je Tanga ambayo ina bandari kadhaa za kisasa,ukianzia1. Bandari ya kushusha Mizigo,ambayo ni bandari ya kisasa,ikiwa na ofisi za jengo kubwa la ghorofa karibia nane,na la kisasa.
2.Bandari ya kisasa,karibia tatu,zilizosehemu tofauti za kushusha mafuta(Depot).
.3.Bandari ya kisasa ya kusafirisha mafuta kutoka Uganda.
4.Bandari za kusafirisha abiria,
Hapo hatujagusia,mazao ya biashara,viwanda,miundombinu,uvuvi wa bahari ya hindi.
5.Bandari za uvuvi wa samaki.
6.Mahotel ya kitalii,yaliyo kando ya fukwe za bahari.
7.Visiwa vya kitalii,vinavyozungukwa na bahari.
8....