King Evance programmer
Member
- Jul 5, 2024
- 20
- 58
Kijana analeta dharauπWewe ni programmer?
Na je unamaanisha nini unapozungumzia projects??
Tuanzia hapo kwanza!!!
Naona kijana anavyowadharau!!Kijana analeta dharauπ
Huenda kuna aina za ban... Nyingine inakugomea hadi kufungua account mpyaKuna kitu huwa sikielewe hapa naomba nifahamishwe,,unakuta mtu kala ban na ujumbe unasema,user can not reply lkn unaona anareply,hii imekaaje?
Huenda upo sahihi,,lkn ishu ni kwamba inasemwa huwezo kureply lkn mhusika anareply,,hapo ndo napata shida kidogoHuenda kuna aina za ban... Nyingine inakugomea hadi kufungua account mpya
Au alijibu kabla ya kula ban, huyo member Ivan Stepanov amekula ban kama masaa mawili yaliyopita kuna thread moja wameiblockHuenda kuna aina za ban... Nyingine inakugomea hadi kufungua account mpya
Hii walau inanishawishiAu alijibu kabla ya kula ban
Sijajua kama ni wao au walinunuaHao ma progarmmer wa Tz ndio walimtengeneza yule Robot wa kike na kumpeleka bungeni? π π
Sijajua kama ni wao au walinunua
Kawaida tu mbona...Robot yuko slow kama Biden, ha haa π
π€£π€£Robot yuko slow kama Biden, ha haa π
Kulingana na ubongo wa mtu, mtoto anaweza kujifunza akashindwa kwa ugumu wake lakini mtu mzima akaweza... Au ikawa vise versa yake...Kuanza kujifunza codes ukubwani ni kama uchawi tu. Vijana wangeanza kuandika codes toka utotoni tungekuwa na programmers hatari. Tatizo mtu anafika chuo kikuu ndo anaanza kujifunza kuandika codes. Hapo tayari kaanza kuwaza familia na majukumu mengine ya kiutu uzima. Ifike sehemu watoto wenye akili wasipotezewe muda kusoma historia za kina kinjekitile.
Ila ni point... Sometime watu wanaojifunza toka utotoni wanakuwa na kipaji cha kuzaliwa, sio kumlazimisha mtoto ambae hawezi ashike programming languagesKuanza kujifunza codes ukubwani ni kama uchawi tu. Vijana wangeanza kuandika codes toka utotoni tungekuwa na programmers hatari. Tatizo mtu anafika chuo kikuu ndo anaanza kujifunza kuandika codes. Hapo tayari kaanza kuwaza familia na majukumu mengine ya kiutu uzima. Ifike sehemu watoto wenye akili wasipotezewe muda kusoma historia za kina kinjekitile.
dogo unatafuta soko? qmamae acha kutukana waliokutangulia, mbuzi wewe.Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers.
Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu.
Hakuna project yeyote ya programmer's & Developers wa Tz iliyofika mbali.Shida nn wakuu?