Hivi kwanini Tanzania hakuna programmers

Joined
Jul 5, 2024
Posts
20
Reaction score
58
Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers.

Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu.

Hakuna project yeyote ya programmer's & Developers wa Tz iliyofika mbali.Shida nn wakuu?
 
Prox setting error in android studio. Hii unaitatuaje. Kama inadai server how do i set that server so that dependencies can connect to the internet ?
Nimejaribu ku disable prox server ila error haiondoki. I'm stack , hii error inanichelewasha kusonga mbele. Help please.
 
Kuanza kujifunza codes ukubwani ni kama uchawi tu. Vijana wangeanza kuandika codes toka utotoni tungekuwa na programmers hatari. Tatizo mtu anafika chuo kikuu ndo anaanza kujifunza kuandika codes. Hapo tayari kaanza kuwaza familia na majukumu mengine ya kiutu uzima. Ifike sehemu watoto wenye akili wasipotezewe muda kusoma historia za kina kinjekitile.
 
Kulingana na ubongo wa mtu, mtoto anaweza kujifunza akashindwa kwa ugumu wake lakini mtu mzima akaweza... Au ikawa vise versa yake...
 
Kuanza kujifunza codes ukubwani ni kama uchawi tu. Vijana wangeanza kuandika codes toka utotoni tungekuwa na programmers hatari. Tatizo mtu anafika chuo kikuu ndo anaanza kujifunza kuandika codes. Hapo tayari kaanza kuwaza familia na majukumu mengine ya kiutu uzima. Ifike sehemu watoto wenye akili wasipotezewe muda kusoma historia za kina kinjekitile.
Ila ni point... Sometime watu wanaojifunza toka utotoni wanakuwa na kipaji cha kuzaliwa, sio kumlazimisha mtoto ambae hawezi ashike programming languages
 
Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers.

Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu.

Hakuna project yeyote ya programmer's & Developers wa Tz iliyofika mbali.Shida nn wakuu?
dogo unatafuta soko? qmamae acha kutukana waliokutangulia, mbuzi wewe.
 
Back
Top Bottom