Hivi kwanini Tanzania hakuna programmers

Nenda kwenye File -> settings ->appearance &behavior ->system settings -> http proxy then click kwenye sehemu iliyoandikwa no proxy then bonyeza OK kisha build project yako uone kama bado inaleta error icopy hiyo error ipest hapa tuione.
Nimejaribu kufanya hivyo, nimejaribu ku disable, nimejaribu kuruhusu automatic proxy settings. Zote zimefeli.
 
Nyuzi za watoto
 
Simple are you a programmer by mtoa mada
 
Kwani programmer ni nini
 
Wapo mkuu, ila karibia popote utakapoajiriwa wakuta tailor made programs!
Utaajiriwa kama IT admini au kale kajina kazuri IT Executive!
Kurekebisha system inapo crush au la, kwa kutumia manual guide za hao waliotengeneza program!
 
Nenda kwenye forums za programmers mkuu hapa utakesha
 
Nenda kwenye appropriate furums ukaulize haya maswali humu sio mahala sahihi. Go try stackoverflow site kule utakutana na programming geeks
 
Mbona wapo wengi tu....
Magilatech kijana magila ambaye ni self taught programmer, kampuni yake imetengeneza mifumo mingi ya serikali ikiwemo tra, mifumo ya manunuzi, mifumo karibu mingi inayotumika serikalini. imetengeneza azam pay, imetengeneza mifumo ya mabenki n.k.
Wapo wengine wanafanya kazi za nje lakini hawawezi kusema kwa sababu sio project zao.
Mkuu ukiwa una project ya maana uwe na ela ya maana maprogrammer utawapata. Shida ni kwamba sisi tunakuwa na project kubwa, budget milioni halafu mtu akutengenezee kitu sawa na cha startup ya US iliyopata fund ya dollar milion 10.
 
Kitu kikianzia utotoni huwa kinakaa vizuri. Programmers wengi walioleta mapinduzi kama kina Mark Zuckerberg walianzia chini kabla ya kuingia chuo.
Kwahiyo?, madaktari walioanzia utotoni ni wangapi na wamefanya nini, kama hicho ndo kipimo chabuprogrammer
 
Nataka nianzishe darasa la kuwafunza watoto computer programming from age 8 around darasa la 5 hiv. Kwa watoto Nitawapa kipaumbele wanaosoma englis medium angalau language itakua sio barrier kubwa sana
 
Kwa tafsiri ya kwanza, tumuulize mtoa mada je mtoa mada kwa ajili zako chache unaweza kusema hakuna programmer?
 
Program ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…