abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Kabisa kaka, ni vile hajakutana nao tuLectures wenyewe wako vizuri... Hapo bado hujawagusa wanaojifunza kila siku hawana kazi nyigine wao ni kujifunza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kaka, ni vile hajakutana nao tuLectures wenyewe wako vizuri... Hapo bado hujawagusa wanaojifunza kila siku hawana kazi nyigine wao ni kujifunza tu
Nimejaribu kufanya hivyo, nimejaribu ku disable, nimejaribu kuruhusu automatic proxy settings. Zote zimefeli.Nenda kwenye File -> settings ->appearance &behavior ->system settings -> http proxy then click kwenye sehemu iliyoandikwa no proxy then bonyeza OK kisha build project yako uone kama bado inaleta error icopy hiyo error ipest hapa tuione.
Nyuzi za watotoHivi kwa nini Tanzania hakuna programmers.
Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu.
Hakuna project yeyote ya programmer's & Developers wa Tz iliyofika mbali.Shida nn wakuu?
Simple are you a programmer by mtoa madaProx setting error in android studio. Hii unaitatuaje. Kama inadai server how do i set that server so that dependencies can connect to the internet ?
Nimejaribu ku disable prox server ila error haiondoki. I'm stack , hii error inanichelewasha kusonga mbele. Help please.
Kwani programmer ni niniKuanza kujifunza codes ukubwani ni kama uchawi tu. Vijana wangeanza kuandika codes toka utotoni tungekuwa na programmers hatari. Tatizo mtu anafika chuo kikuu ndo anaanza kujifunza kuandika codes. Hapo tayari kaanza kuwaza familia na majukumu mengine ya kiutu uzima. Ifike sehemu watoto wenye akili wasipotezewe muda kusoma historia za kina kinjekitile.
Wapo mkuu, ila karibia popote utakapoajiriwa wakuta tailor made programs!Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers.
Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu.
Hakuna project yeyote ya programmer's & Developers wa Tz iliyofika mbali.Shida nn wakuu?
Nenda kwenye forums za programmers mkuu hapa utakeshaProx setting error in android studio. Hii unaitatuaje. Kama inadai server how do i set that server so that dependencies can connect to the internet ?
Nimejaribu ku disable prox server ila error haiondoki. I'm stack , hii error inanichelewasha kusonga mbele. Help please.
Nenda kwenye appropriate furums ukaulize haya maswali humu sio mahala sahihi. Go try stackoverflow site kule utakutana na programming geeksProx setting error in android studio. Hii unaitatuaje. Kama inadai server how do i set that server so that dependencies can connect to the internet ?
Nimejaribu ku disable prox server ila error haiondoki. I'm stack , hii error inanichelewasha kusonga mbele. Help please.
Mbona wapo wengi tu....Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers.
Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu.
Hakuna project yeyote ya programmer's & Developers wa Tz iliyofika mbali.Shida nn wakuu?
Ujue huyo alisha reply kabla haja banKuna kitu huwa sikielewe hapa naomba nifahamishwe,,unakuta mtu kala ban na ujumbe unasema,user can not reply lkn unaona anareply,hii imekaaje?
Kwahiyo?, madaktari walioanzia utotoni ni wangapi na wamefanya nini, kama hicho ndo kipimo chabuprogrammerKitu kikianzia utotoni huwa kinakaa vizuri. Programmers wengi walioleta mapinduzi kama kina Mark Zuckerberg walianzia chini kabla ya kuingia chuo.
Itakua waliiba project ya watu ambayo haikua imeisha bado 😂😂Sijajua kama ni wao au walinunua
Nataka nianzishe darasa la kuwafunza watoto computer programming from age 8 around darasa la 5 hiv. Kwa watoto Nitawapa kipaumbele wanaosoma englis medium angalau language itakua sio barrier kubwa sanaKuanza kujifunza codes ukubwani ni kama uchawi tu. Vijana wangeanza kuandika codes toka utotoni tungekuwa na programmers hatari. Tatizo mtu anafika chuo kikuu ndo anaanza kujifunza kuandika codes. Hapo tayari kaanza kuwaza familia na majukumu mengine ya kiutu uzima. Ifike sehemu watoto wenye akili wasipotezewe muda kusoma historia za kina kinjekitile.
Sibishani na mpumbavu.Kwahiyo?, madaktari walioanzia utotoni ni wangapi na wamefanya nini, kama hicho ndo kipimo chabuprogrammer
Kwa tafsiri ya kwanza, tumuulize mtoa mada je mtoa mada kwa ajili zako chache unaweza kusema hakuna programmer?Programmer ni mtu anaeandika seti ya maelezo yanayoiambia computer nini ifanye kwa kutumia programming language (au mtu anayeandika program),
developer ni mtu ambaye anauelewa na fani fulani katika teknolojia aidha kwa maendeleo ya wavuti, systems, software designing etc. na anaweza kutoa mchango fulani katika kuboresha program au system fulani.
Software engineer ni mtu anayedesign software na kuifanya, mfano akadesign software kama mobile app, au web application, na anauwezo wa kuifanyia repair and advancement. Hawa wao wanadeal na softwares tu.
Kwa ujumla watu hawa watatu wote wanatakiwa kuwa na ujuzi wa programming au kuandika program. (Programming ni msingi wa software engineering. Hivyo basi, programmer ni software engineer lakini pia ni developer
Kwani programmer ni nini
Aliyekupiga bann anaakili sana sanaWewe ni programmer?
Na je unamaanisha nini unapozungumzia projects??
Tuanzia hapo kwanza!!!
Program ni nini?Yaan kwa ninavyoelewa, coding ni part ya programming, programming inajumuisha kuanzia utambuzi wa tatizo mpaka mtu anamaliza kuandika program ya kutatua hilo tatizo, kwahiyo ndani yake kuna kipengele cha coding (write a program) ambayo huwa ni hatua ya 3 katika hatua za kudevelop a program