Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

Limama linaonekana lina pekecha kinoma, alafu nachopendea mama haya unajilia utakavyo hayana nouma, ni wewe tu na ni maelewa 😊😊
🤣🤣🤣🤣 Jimama la Kihaya huyu ni MILF hawa wanakuambia kifo cha mende buku 3 na style buku 7 tu sasa ukimpata mmama kama huyu mtabinuka kila style uridhike

Malaya wamama au ma-aunt huwa waelewa sana tofauti na hivi vibinti malaya
 
KUNA MAENEO UNACHOKISEMA NI KWELI..!! Lakini usisahau Mrema alishawahi kuwa mbunge wa Temeke
Usitolee mfano Dar kwa sababu Dar hakuna kabila maalum ila ni eneo la makabila yote mchanganyiko.
By the way watu wa Dar na pwani ni watu peace sana huwa wanawapokea vizuri watu wa aina zote ukiongea nao vizuri.
 
Kuna siku nlitaka kuandika hapa nikaogopa kuonekana mkabila

Ila pale temeke kuna kinjia unapita kuenda njinjo kuna vyumba vya hawa wauza miili yao ,wote wanaongea lugha moja

Wanaongea kihaya, yan ukipita wanakushika na mkono kabisa ingia ndani

Kuna harufu yao flan hivi siipendi mno

Vijana wengi utakuta wanaingia kujipoza
 
Nili katiza siku moja mitaa yao mwananyamala kuona yaliomo yamo? kuna kamtaa karefu wamejaa wenyewe watupu aisee wanapiga kihaya kama wapo Buyekera vile

Basi kila mmoja anakuita mara bebi mara fundi mara jembe langu yaani ni balaa
Yamevaa mapaja nje mengine yamekaa kitandani, size zote kuanzia wazee hadi vibinti nahisi vitakua underage
Hadi kuja kuumaliza ule mtaa jasho lilinitoka wamefukiza udi unanuka balaa
 
Kabisa mkuu. Mbona watuhumiwa wengine hawawapigi picha za udhalioishaji kama hivyo? Basi wawapeleke mahakamani.
Huu ujinga wakati unaendelea uwa nafeli kuelewa.

Imagine ninafanya kazi wizara ya afya , nikaamua kutoa siri za wagonjwa wangu alafu waje askari kunikamata na picha wanipige wazitume mtandaoni si tayari mimi na wao ni wahalifu why nisilete varangati.

My Tanzania my country ipo siku patakucha .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitolee mfano Dar kwa sababu Dar hakuna kabila maalum ila ni eneo la makabila yote mchanganyiko.
By the way watu wa Dar na pwani ni watu peace sana huwa wanawapokea vizuri watu wa aina zote ukiongea nao vizuri.
Kila mkoa una kabla mwenyeji..!!!
 
Ukabila tz umejaa ila wanajitoa ufahamu, emu mzaramo aende usukumani km atapata ubunge
Mbona kitila mkumbo sio mzaramo na kapata ubunge dar? kiwia mchaga na alikuwa mbunge huko usukumani
 
Huwa pana ulazima gani mpaka kabila litajwe...

78ccfbb956cf7734e9cc072756adf1ec-jpg.2419045

687a3a8252b1f9cb53940207eb5417c2-jpg.2419046
We nyang'au unaacha kuomboleza huko magorofa yanaanguka na kuua watu unatuletea habari za malaya
 
Back
Top Bottom