Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
😂😂😂😂Huyu hata sio mhaya kwa kabila ni mpare namjua fika huyu bi maza na sio mara ya kwanza kudakwa kunakipindi wakidakwa wanaenda kutoa uroda wanaachiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Huyu hata sio mhaya kwa kabila ni mpare namjua fika huyu bi maza na sio mara ya kwanza kudakwa kunakipindi wakidakwa wanaenda kutoa uroda wanaachiwa
Hapa bongo sikatai ila makabila ya ubaguzi yapo kama 5 kati ya mia moja na kituBwahaha!!akili zako hazipo mzee..
Sasa kisumu si ni city mzee acha mkikuyu kuna mbunge mhindi, msomali we vp mzee
Watz ukabila upo juu sana katika maisha ya kawaida, kenya ukiachana na siasa ukabila upo chini sana..
Tuko pamojaNaunga mkono hoja,,,, [emoji2]
KingwenduDar kuna wabunge wenyeji kwani? Wabunge wangapi Dar ni Wazaramo
Halima MdeeDar kuna wabunge wenyeji kwani? Wabunge wangapi Dar ni Wazaramo
Tukiona vizinga vingi au tunapigwa vibuti tunaenda kuponeapo kwa dada poa 🤣🤣🤣Naunga mkono hoja,,,, [emoji2]
Ukiona mwanamke ana mdomo mweusi.. vaa hata 3Huwa pana ulazima gani mpaka kabila litajwe...
![]()
![]()
hakika,polisi wetu awajali privace za watu.Huu Ni udhalioishaji
Aisee pamoja na kilometres kuwa nyingi a masela bado wanawakamua kwa bei nafuu?Huwa pana ulazima gani mpaka kabila litajwe...
![]()
![]()
Umalaya una privacy?hakika,polisi wetu awajali privace za watu.
HawakusomaUsitolee mfano Dar kwa sababu Dar hakuna kabila maalum ila ni eneo la makabila yote mchanganyiko.
By the way watu wa Dar na pwani ni watu peace sana huwa wanawapokea vizuri watu wa aina zote ukiongea nao vizuri.