Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

Huwa pana ulazima gani mpaka kabila litajwe...

78ccfbb956cf7734e9cc072756adf1ec-jpg.2419045


687a3a8252b1f9cb53940207eb5417c2-jpg.2419046
Mkuu, huu ni udharirishaji, utajisikiaje siku ukiona picha ya mkeo, mwanao, dada yako, mama au shangazi na bango la kesi ya umalaya
 
Umalaya Toka enzi za Yesu ulikuwepo.

Yesu alimsamehee Mwanamke Malaya.


Tena hata nyakati hizo za Warumi, Wala wanawake hao walikua hawazalilishwi hivo..


Sasa mpaka kurushana kwenye Mitandao, inamaana gan? Hao Wanawake Wana Ndugu zao .
 
Nili katiza siku moja mitaa yao mwananyamala kuona yaliomo yamo? kuna kamtaa karefu wamejaa wenyewe watupu aisee wanapiga kihaya kama wapo Buyekera vile

Basi kila mmoja anakuita mara bebi mara fundi mara jembe langu yaani ni balaa
Yamevaa mapaja nje mengine yamekaa kitandani, size zote kuanzia wazee hadi vibinti nahisi vitakua underage
Hadi kuja kuumaliza ule mtaa jasho lilinitoka wamefukiza udi unanuka balaa
Nimewahi kuishi Mwananyamala Msisiri B aisee huo mtaa na ufahamu. Noma sana.
 
Back
Top Bottom