Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

Huwa pana ulazima gani mpaka kabila litajwe...



Mkuu, huu ni udharirishaji, utajisikiaje siku ukiona picha ya mkeo, mwanao, dada yako, mama au shangazi na bango la kesi ya umalaya
 
Umalaya Toka enzi za Yesu ulikuwepo.

Yesu alimsamehee Mwanamke Malaya.


Tena hata nyakati hizo za Warumi, Wala wanawake hao walikua hawazalilishwi hivo..


Sasa mpaka kurushana kwenye Mitandao, inamaana gan? Hao Wanawake Wana Ndugu zao .
 
Nimewahi kuishi Mwananyamala Msisiri B aisee huo mtaa na ufahamu. Noma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…