MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hataki majina ya mkwavinyika.Mkuu kwanini ww unajiita MALCOM LUMUMBA?
Malcom Lumumba siyo jina langu ni Account Name nayotumia JamiiForums.Mkuu kwanini ww unajiita MALCOM LUMUMBA?
Kwann usitumie mkwavinyika?Malcom Lumumba siyo jina langu ni Account Name nayotumia JamiiForums.
Kwasababu siishi humu JF na wala hakuna msajili wa vizazi na vifo.Kwann usitumie mkwavinyika?
Ingependeza zaidi kama na ww ungetumia Mkwavinyika ama Jina lolote lenye asili hiyo na sio Malcom.Kwasababu siishi humu JF na wala hakuna msajili wa vizazi na vifo.
Hivyo hakuna umuhimu sana wa kutumia jina Mkwavinyika.
Hili nalo litategemea asili yangu ni wapi, maana kwa wengine Malcom, Mohamed au Patel ni majina yao asilia.Ingependeza zaidi kama na ww ungetumia Mkwavinyika ama Jina lolote lenye asili hiyo na sio Malcom.
Binafsi majina yangu halisi (Official Names) yote ni asilia.Hataki majina ya mkwavinyika.
Nadhani hili limetokea sehemu nyingi sana Afrika hasa baada ya kuletewa dini kutoka Uarabuni na Ulaya.Ni ujinga na upumbafu tu wa watanzania..Mtu yuko radhi umuite fox ila ukimuita mbweha mtakosana...ila mi watoto wajianadae kwa majina ya kiasili.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Lakini chanzo cha kubadilisha hayo majina huwa nini haswaa ???Afrika Magharibi wana enzi sana majina yao ya asili. Unamkuta Adebayo Ankunle hata huwezi kujua ni dini gani lakini utajua ni Mwafrika.
Tuliaminishwa na Wazungu jina lako ni lazima liendane na la Mtakatifu mmoja. Inawezekana kuna Mtakatifu Mainda lakini hakuna records zake hivyo nikaitwa Judith.Lakini chanzo cha kubadilisha hayo majina huwa nini haswaa ???
Labda majina asilia yanatia kinyaa..?!!Lakini chanzo cha kubadilisha hayo majina huwa nini haswaa ???
Lakini bahati mbaya sana kuna majina mengine ya Kiislamu au Kikristo yalikuwepo hata kabla ya hizi dini kuzaliwa.Tuliaminishwa na Wazungu jina lako ni lazima liendane na la Mtakatifu mmoja. Inawezekana kuna Mtakatifu Mainda lakini hakuna records zake hivyo nikaitwa Judith.
Majina asilia yamefungamanishwa na Lugha na Tamaduni za watu husika (Natives)Labda majina asilia yanatia kinyaa..?!!