Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Uko sahihi , majina yakina Julius yana records kwakua Romans walijua kusoma na kuandika. Wana record ya Mtakatifu Julius. Sasa Mainda hata kama ni mtakatifu nani anajua?Lakini bahati mbaya sana kuna majina mengine ya Kiislamu au Kikristo yalikuwepo hata kabla ya hizi dini kuzaliwa.
Mfano Julius, lile lilikuwa ni jina la kilatini ambalo limekuwa likitumika na Waroma hata kabla ya Yesu.