Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishindwaje....Mimi naona Wazaire,(Wakongo) wamefaanikiwa Sana kwenye Utamaduni wao! Kuanzia majina ,muziki nk...huoni jinsi Wanavyonufaika Kiuchumi kwa Hilo...angaliaa zaidi ya Miaka 30 muziki wao unauzika Dunia mzima! Na Tanzania Ni mfano halisi !Mobutu alitumia nguvu lakini mwishowe akashindwa, maana hili swala limekaa kimfumo zaidi tofauti na tufikirivyo.
Nadhani tukubali kwamba ushawishi wa tamaduni za mzungu umefika hadi kwenye mizizi ya tamaduni zetu.
Nimependa hiyo Ankunle sijui kwa kikunio gani!Afrika Magharibi wana enzi sana majina yao ya asili. Unamkuta Adebayo Ankunle hata huwezi kujua ni dini gani lakini utajua ni Mwafrika.
Wasalaam,
Hivi kwanini mtoto alizaliwa anaitwa Mkwavinyika lakini baada ya kufanyiwa ubatizo anaanza kuitwa Paulo.
Au mtu alizaliwa anaitwa Mushaija lakini baada ya kutaka kumuoa Maiumuna anasilimu na kuanza kuitwa Juma.
Sasa nataka kufahamu haya yote yanatokana na nini:
Je, majina yetu asilia yanakuwa na walakini au yanabeba nuksi fulani hivi kwa mtoto ?
Au, hayo majina hutumika kama utambulisho wa dini ya mtu fulani kama ilivyo kwa kabila ?
Huwa hawabailishiw majina bali huongezewa majina. Hujui kuwa majina ya Julius na Kambarage yote ni ya Mwalimu Nyerere?Wasalaam,
Hivi kwanini mtoto alizaliwa anaitwa Mkwavinyika lakini baada ya kufanyiwa ubatizo anaanza kuitwa Paulo.
Au mtu alizaliwa anaitwa Mushaija lakini baada ya kutaka kumuoa Maiumuna anasilimu na kuanza kuitwa Juma.
Sasa nataka kufahamu haya yote yanatokana na nini:
Je, majina yetu asilia yanakuwa na walakini au yanabeba nuksi fulani hivi kwa mtoto ?
Au, hayo majina hutumika kama utambulisho wa dini ya mtu fulani kama ilivyo kwa kabila ?
Nadhani mfano wako haujaangalia vitu kwa undani wake wala kuvipa uzito unaostahili.
Kutumia kitu cha jamii nyingine au kufanya biashara hakuhusiana sana na tamaduni.
Kama kutumia vitu vya mzungu hata wahenga wetu walivitumia kabla ya ukoloni.
Pia mkoloni alivitumia vitu vyao kwa wingi sana, na bado anaendelea kutumia.
Hujasoma Early-Contacts za karne ya saba kwenye somo la Historia mkuu ???
Hakuna jamii inayojitegemea yote kwa asilimia 100%,
Hayo uliyosema ni biashara siyo tamaduni.
Hivyo tatizo kubwa ni utumwa wa kifikra (Mental Slavery) na ubeberu wa kitamaduni (Cultural Imperialism) ???
Hata ukiwa na avatar ya jina la kizungu ni kasumba mbaya tu. mara nyingi watu wa hivi wame elimika nusu nusu, au hawana Elimu kabisa kabisaaaa! wakijikuna unatoka unga yaani ma mbululaa mfano wa karibu ni huu;Majina asilia yamefungamanishwa na Lugha na Tamaduni za watu husika (Natives)
Hivyo unachosema wewe hapa ni kwamba Tamaduni zetu ni za Kishenzi (Barbaric)
Kuna shule moja wanangu wanasema heeee wakiktaja majina ya marafiki zao tasema ni Wazuungu wote Ila Mm nimefanikiwa wanangu wana majina official ya kiasili ya kwa wakwe na Kwangu Nilimwambi Baba Paroko hataki asiwabakize ila sijtabadilisha majinaAfrika Magharibi wana enzi sana majina yao ya asili. Unamkuta Adebayo Ankunle hata huwezi kujua ni dini gani lakini utajua ni Mwafrika.
majitu kama haya yanakera kweli, afu ndo ya kwanza ku-commentMkuu kwanini ww unajiita MALCOM LUMUMBA?
Nafikiri unaposema wanabadili majina siyo sahihi. Usahihi ni kwamba kikristo inashauriwa angalau ubatizwe kwa jina la mtu mwema lililok kwenye Bible.Wasalaam,
Hivi kwanini mtoto alizaliwa anaitwa Mkwavinyika lakini baada ya kufanyiwa ubatizo anaanza kuitwa Paulo.
Au mtu alizaliwa anaitwa Mushaija lakini baada ya kutaka kumuoa Maiumuna anasilimu na kuanza kuitwa Juma.
Sasa nataka kufahamu haya yote yanatokana na nini:
Je, majina yetu asilia yanakuwa na walakini au yanabeba nuksi fulani hivi kwa mtoto ?
Au, hayo majina hutumika kama utambulisho wa dini ya mtu fulani kama ilivyo kwa kabila ?
Mpaka umepata akili ya kuingia humu Jf na kuonna na watu vichwa lazima angalau una akili ya shule. Bible yenyewe imechezewa sana km mwanasesere! kwa miaka miiingi sana. Utajuaje ipi ni ipi au vipi bila msaada wa roho mtakatifuuu?Nafikiri unaposema wanabadili majina siyo sahihi. Usahihi ni kwamba kikristo inashauriwa angalau ubatizwe kwa jina la mtu mwema lililok kwenye Bible.
Sasa kama jina lako halipo kwenye Bible, then utapewa jina jingine ( Jina la ubatizo ) au kwa lugha nyingine jina la kiroho.
Ndio kuna wazazi mpaka wa ubatizo ( sasa hapa huwezi kusema mtu kabadili wazazi )
Mkubwa Jalala.Mpaka umepata akili ya kuingia humu Jf na kuonna na watu vichwa lazima angalau una akili ya shule. Bible yenyewe imechezewa sana km mwanasesere! kwa miaka miiingi sana. Utajuaje ipi ni ipi au vipi bila msaada wa roho mtakatifuuu?
jina Joashua wengi wenu hamlijui chanzo chake lili badilishwa kwa kwenda mbele mpaka watu mu hoi!! mnaweweseka tu biblia!!! bilia!! kifupi ni kuwa wazungu wamewaingiza chaka mbaya sana. hamtoki huko nawambia!
Mmeambiwa kabisa hawa watu ni Nephilim wanawapoteza hamtaki tuwafanyeje sasa? kifupi waafrica weusi mnalewa lewa tu! mmekuwa km mtoto mdogo!! wa kuvalishwa pampers.
Anzia na jina ASILI la Dar es Salam, MZIZIMA.Unajua sielewi mfano Ghana SA, wanatumia majina ya asili na wanaenda church na misikitini, sasa sisi sijui kwann hatuitani majina ya kiasili wenye vyeti vya ubatizo au, Uislam.
Tunaambiwa yanabeba maroho na mapepo wachafu! Inasikitisha mno!
Everyday is Saturday............................. 😎
Hapana, ni utaratibu tu wa serikali. Kila mtoto hupewa jina la uji ambalo ndo jina la asili (kwa makabila mengi).Labda majina asilia yanatia kinyaa..?!!
Sababu yao RC kubatiza jina la mtakatifu ni nini?? Kutokuthamini jina asilia,Hapana, ni utaratibu tu wa serikali. Kila mtoto hupewa jina la uji ambalo ndo jina la asili (kwa makabila mengi).
Sasa tatizo linakuja unapomuandikisha kwenye cheti cha kuzaliwa, lakini Roman Catholic wana utaratibu ambao unapombatiza mtoto unachagua jina la mtakatifu wao na la uji yote yanaandikwa kwenye cheti cha ubatizo.
Jina ,la uuji haaaa khwante kwa WairqwHapana, ni utaratibu tu wa serikali. Kila mtoto hupewa jina la uji ambalo ndo jina la asili (kwa makabila mengi).
Sasa tatizo linakuja unapomuandikisha kwenye cheti cha kuzaliwa, lakini Roman Catholic wana utaratibu ambao unapombatiza mtoto unachagua jina la mtakatifu wao na la uji yote yanaandikwa kwenye cheti cha ubatizo.
Nadhani inawezekana. Unamkumbuka marehemu Kingunge Ngombale Mwilu?Sababu yao RC kubatiza jina la mtakatifu ni nini?? Kutokuthamini jina asilia,
Sauzi, Sibongile ni Sibongile, Ghana Nana ni Nana, Nigeria Adebayor ni Adebayor, hao watakatifu RC wanajulikana Bongo tu??
Everyday is Saturday................................😎