Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
- Thread starter
-
- #21
na vipi kama we mwenyewe ndo hela zinapotea mikononi mwakoChumaUlete ni UCHOCHORO wa wafanyakazi wadokozi kuwaibia mabosi VILAZA!
Taratibu za kibenki ZIMEZIBA huo uchochoro!
Naongea kwa UZOEFU.
Mimi ni MFANYABIASHARA, nasema hiviii KIUHALISIA HAKUNA KITU KINACHOITWA CHUMA ULETE!!!
Mfanyakazi wako akikuletea habari za chumaulete, tia mabanzi, weka ndani... mwenyewe atakuonesha ALIPOFICHA HELA ZAKO!!!
Hela HAZIWEZI KUPOTEA TU hivi hivi!na vipi kama we mwenyewe ndo hela zinapotea mikononi mwako
Naunga mkono hoja. Kuna mnaija mmoja nimefanya nae kazi kwa miaka kadhaa aesee piga ua hakupi wala hapokei hela mkononi, anakuwekea mezani na wewe unamwekea mezani. Mkikutana njiani anakupeleka popote mnakaa anakuwekea pesa yako kwenye kitu chochote unachukuauchawi ni technique ndogo sana..nasikia chuma ulete ili ifanye kazi ni lazima akupe hela mkono kwa mkono..leo hii ukienda benk kumpa hela Teller unampa mkononi au unaweka pale kwenye kidirisha then anachukua??..kuna mwanangu mmoja ni mtu wa Finance aliniapanga hii ishu
Weee jamaa nakuelewaga sana ,uchawi ni upumbavu uliozidi kiwango na nasikitika sana vijana wengi siku hizi ndio wameroea kwenye uchawi dah foolish kabisaNguvu ya Uchawi ni 10% ya maisha halisi ya mwanadamu.
Uchawi hauna nguvu kihivyo.
Wanaoamini Uchawi unanguvu ni watu wajinga waliopotiliza kwenye ujinga wao
Weee jamaa nakuelewaga sana ,uchawi ni upumbavu uliozidi kiwango na nasikitika sana vijana wengi siku hizi ndio wameroea kwenye uchawi dah foolish kabisa
Wanafanya white magic na sio black magic ufanywa na watu wenye akili duni hasa afrika.Uchawi nguvu yake ni ndogo ndio maana watu wenye akili hawajishughulishi nayo.
Hivi Uchawi ungekuwa dili unafikiri Wazungu na mataifa Makubwa wangeuachia?
Inahitaji akili ndogo Sana kutambua Jambo hili
Nguvu ya Uchawi ni 10% ya maisha halisi ya mwanadamu.
Uchawi hauna nguvu kihivyo.
Wanaoamini Uchawi unanguvu ni watu wajinga waliopotiliza kwenye ujinga wao
Na kule Singida pia, kuna mmama alikuwa anaitwa LETTI KIDANKA aliwapeleka puta GermansRefer majimaji war.....una swali lingine?