Hivi kwanini uchawi hautumiki kwenye Uwanja wa Vita?

hakuna chuma ulete ya aina moja,
 
Ngende hiyo?
 

Operation Cone of Power: When British Witches Attacked Adolf Hitler​

 
Kawaulize raia wa DRC na M23 watakutoa shaka kwamba uchawi unatumika kwenye medani za kivita....mind you uchawi ni imani kama zilivyo imani nyingine
 
mzee uchawi ni maigizo tu hauna mechi na mtutu...
 
Uchawi ni sanaa inayofanya mabadiliko ya kitu au vitu kutokea.. Sasa sanaa hii inahitaji muda wakuifanya, huko vitani hakuna muda wakujiandaa
 
vita ya kagera tusingeshinda bila uchawi wa kikurya na kisukuma!...Kwa ni maji maji wars! unaielewaje wewe hivi umesoma kweli??
 
Sure!
Niamini
Tanzania kuna wataalamu wabobezi sana.
Huyo mzee ni baba yangu mzazi, simpigii promo ila daaaahhh anatisha.
Sasa hivi kaachia hiyo kazi anapiga mechi za nyumbani tu
Usanii mara kuna mzee mara baba yangu eti sasa hivi anapiga tu mechi za nyumbani[emoji28][emoji28][emoji28] saiv laifu tait sana upati[emoji389][emoji389] za bure chapa kazi
 
Mleta mada tatizo unataka uchawi ufanye vitu unavyotaka wewe.
Yaani eti kisa gari haiwezi kupaa ndo uhitimishe kwakusema eti hii siyo gari??

Kama wewe hujaona miujiza ya kichawi basi wengine wameona.

Nikiwa mdogo niliwahi nyolewa nywele bila mtu yeyote kuona.Je,mama yangu alikuwa amesahau kuwa hajaninyoa??

Usihitimishe bali omba uelekezwe kwa mambo usiyo na upeo nayo!
 
Rejea historia ya Vita ya Majimaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…