Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu kinaitwa LUBWIBWILUSA (mortii tombo mivi) hiyo kitu inaweza badirisha hata uelekeo wa kombora na kurudi likikotokaToa mfano, vitu gani vya kichawi vikiwekwa vitani vinaweza kuwa msaada..?!
Kuna kitu kinaitwa LUBWIBWILUSA (mortii tombo mivi) hiyo kitu inaweza badirisha hata uelekeo wa kombora na kurudi likikotoka
Mbona sikuoni pmNimekuja PM,
Sure!Mkuu hii chai na mchana huu
Mimi NIMEKUZINDUA tu...sidhani mkuu hii sio sababu..mimi nshawahi kufanya kazi na mama..kipindi hiko nipo yanky..kazi enyewe mama lishe..nilikuwa nikipeleka order sitoi mguu bila kupewa hela... na vile mama yangu alikuwa mzoefu kwenye hii biashara..ila kuna siku tunauza sanaaaa namimi naona kabisa tumeuza..tena mimi ndo nae pokea hela kwa wateja napeleka kwa mama...ila jioni mama akiwa anapiga hesabu hela imepukutika yoote hata ya msingi ...anaanza kukopa..mkuu hatakama ni utunzaji hafifu ndo tupoteze hela hadi msingi ufe kwa siku moja?
KUAMINI uchawi ni KUSHINDWA KUTUMIA AKILI VIZURI!Mtu Kama wewe utaaminije Kuna uchawi??
Wee jamaa ni COMEDIAN!Kuna kitu kinaitwa LUBWIBWILUSA (mortii tombo mivi) hiyo kitu inaweza badirisha hata uelekeo wa kombora na kurudi likikotoka
Kuna aina mbili za watu skuiziKUAMINI uchawi ni KUSHINDWA KUTUMIA AKILI VIZURI!
Machotara ya malaika waasi na wanawake weusi, ambao ndio mwanzo wa rangi zingine zooote.Tupe shule nani alitutenganisha na viumbe vya kiroho
Mitoto ya malaika waasi na wanawake weusi.Tupe shule nani alitutenganisha na viumbe vya kiroho
Mechi zilipigwa 3Akaishia wapi?
Ni kawaida WATU WENYE UWEZO MDOGO WA AKILI KUKIMBILIA MATUSI NA KUJICHEKESHA CHEKESHA!!Kuna aina mbili za watu skuizi
Walio nyonya maziwa ya ng'ombe na
Sisi wa maziwa ya mama
We Kama umekomalia uingereza hatukuitaji huku[emoji16][emoji16].
Mnajifanyaga mnaakili kumbe ni chenga tu[emoji1787]
Uchawi upo, amini husiamini kembola iko.
Kama imekukwaza msamaani Sana mkuuNi kawaida WATU WENYE UWEZO MDOGO WA AKILI KUKIMBILIA MATUSI NA KUJICHEKESHA CHEKESHA!!
Vita haichagui silahaHata manati?[emoji1787]
Waafrika ni masikini kwa sababu hawana connection na positive energy.Machotara ya malaika waasi na wanawake weusi, ambao ndio mwanzo wa rangi zingine zooote.
Utakua na masharti pia si ndio???Waafrika ni masikini kwa sababu hawana connection na positive energy.
Awajafungua mlango wa pili ndo maana wanateswa na umasikini.
Umasikini ni matokeo ya ukosefu wa maarifa ya kuufungua ulimwengu wa kiroho.
Tangu nimeijua Siri hii si haba namshukuru Mungu nimeweza kijiconect na positive energy.