Hivi kwanini uchawi hautumiki kwenye Uwanja wa Vita?

Hivi kwanini uchawi hautumiki kwenye Uwanja wa Vita?

We nikituko. Nanikakwambia wa afrika walikua niwachawi???
Hujijui, humjui mwafika alafu unaleta history ya kipindi Cha ukoloni na baada yaa.
Sasa hizi mindset ya kuamini ushirikina plus KILA mtaa mganga alileta mkoloni?
Penye ujinga uchawi unastawi.Angalia maeneo yanayoamini huu upumbavu yalivyoduni.
 
ndo maana wachaw wengi mafukara..we uwezi kuta mchawi kanasa juu ya bati huko masaki au mikocheni
True umasikini, ujinga na uchawi vinaendana.
Masaki mtu anaassaignment inatakiwa asubui awakilishe report morning meeting ya ofisi mshahara mnono package ya kutosha Saa ngapi aache kulala aende akawange mida ya wanga ni saa sita kamili na kabla ya adhana isiwakute awajarudi.
Saa ngapi akawange wakati inatakiwa alale Ili awahi kuamka asubui awahi kikao.
Au atamlogaje mtu kisha amekula nyama,wali au soda wakati anao uwezo wa kumudu kununua.
Uchawi unaendana na ujinga na umasikini.
 
Sasa hizi mindset ya kuamini ushirikina plus KILA mtaa mganga alileta mkoloni?
Penye ujinga uchawi unastawi.Angalia maeneo yanayoamini huu upumbavu yalivyoduni.
Kama wapi?
Kwaiyo waafrika tupo ivi kisa mindset ya uchawi?
Wewe husie amini ushirikina umevumbua Nini uko chuo??Kama sio ujanja wakuongea nakuoji tuu[emoji16][emoji16]
 
FC4EB601-1B89-41DA-BAA3-70C84D8A37DD.jpeg
 
Kwenye vita vya majimaji walitumia uchawi, angalia walivyokufa.
 
Kama wapi?
Kwaiyo waafrika tupo ivi kisa mindset ya uchawi?
Wewe husie amini ushirikina umevumbua Nini uko chuo??Kama sio ujanja wakuongea nakuoji tuu[emoji16][emoji16]
Uchawi umeharibu Sana mindset za wengi.Check watu waamini eti huwezi fanikiwa bila dawa, huwezi chimba madini bila dawa, huwezi vua samaki bila dawa, huwezi lima bila dawa,nk huu ni uongo mkubwa na ni total mindset rubbish hizi ni
propaganda za washirikina ,kutwa watu wanabadili waganga na still matatizo yapo pale pale.
 
Ivi hujawai kuskia Kuna kabila fulani afrika ya kati walikua nauwezo wakutengeneza bunduki?? Tangu lini wakaenda chuo??[emoji23][emoji23]

wa moja wali fyekwa, wengine wakasafirishwa na mameli yao.

Sasa unatakiwa ujue kwamba, bila viumbe wakiroho huna utakalo liweza wewe.
Kitu mkoloni alifanya kwa akili kubwa, ilikua kukutenganisha na viumbe hao.

Na ndiomana kizazi chetu hakijitambui[emoji23][emoji23]
Hachana na mabubu zako wa juzi, wanakwambia kutoka mungu Ni mzungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Fwata hitoria ya noha/nuhu, analo jina lake la halali nasio hayo waliompachika wazungu, nimeandika hayo majina hili uelewe, Kuna kitu utajifunza happy.
 
Uchawi ni story za kusadikia zinazoaminiwa na watu wajinga na wavivu wa kufikiri.
 
Ivi hujawai kuskia Kuna kabila fulani afrika ya kati walikua nauwezo wakutengeneza bunduki?? Tangu lini wakaenda chuo??
emoji23.png
emoji23.png

wa moja wali fyekwa, wengine wakasafirishwa na mameli yao.

Sasa unatakiwa ujue kwamba, bila viumbe wakiroho huna utakalo liweza wewe.
Kitu mkoloni alifanya kwa akili kubwa, ilikua kukutenganisha na viumbe hao.

Na ndiomana kizazi chetu hakijitambui
emoji23.png
emoji23.png

Hachana na mabubu zako wa juzi, wanakwambia kutoka mungu Ni mzungu
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Fwata hitoria ya noha/nuhu, analo jina lake la halali nasio hayo waliompachika wazungu, nimeandika hayo majina hili uelewe, Kuna kitu utajifunza happy.
Ethiopia, Liberia akuwahi Mzungu kutawala wala kuchukuliwa utumwani.
Wao wataalamu wao walipotelea wapi
 
Weee jamaa nakuelewaga sana ,uchawi ni upumbavu uliozidi kiwango na nasikitika sana vijana wengi siku hizi ndio wameroea kwenye uchawi dah foolish kabisa
Mapumbavu sana kila kitu kikienda vibaya tu yanasingizia kurogwa ilimradi tu yamtukuze shetani [emoji34]
 
Ethiopia, Liberia akuwahi Mzungu kutawala wala kuchukuliwa utumwani.
Wao wataalamu wao walipotelea wapi
Mambo ya kukutenganisha na viumbe vyako vya kiroho yalianza kabla ya ukoloni.
Dini zilianza kabla ukoloni na ndio fimbo ilio kuchapa barabara, na vyakula fulani fulani.

Na alafu kilicho sababisha wasitawali nchi izo nini?
 
Unatumika mzee, wakoroni walikuwa wakitumiwa nyuki na machifu wa Tanganyika
 
kama hakuna uchawi basi hakuna Mungu, usidhangae wachawi hawawezi kufanya baadhi ya mambo kwani kuna walokole na masheikh kibao nao wameshindwa kufanya hayo..... kikubwa tukubaliane matendo ya Imani yapo na yana nguvu ila yana mipaka
 
Mambo ya kukutenganisha na viumbe vyako vya kiroho yalianza kabla ya ukoloni.
Dini zilianza kabla ukoloni na ndio fimbo ilio kuchapa barabara, na vyakula fulani fulani.

Na alafu kilicho sababisha wasitawali nchi izo nini?
Tupe shule nani alitutenganisha na viumbe vya kiroho
 
Back
Top Bottom